Sawa huenda Hayati Magufuli alikuwa fisadi, Je hizo pesa zilitoka wapi?

Duuh!!...sasa jibu swali hili je pesa alizofisadi JPM zilitokea wapi?
Wewe JUHA hivi unajua kusoma vizuri?

Hivi unajua Magu ndani ya Miaka 6 tu ya utawala wake, LILIKOPA pesa nyingi kinoma kuliko pesa zote ambazo Kikwete alikopa miaka yote 10 ya UTAWALA Wake?
 
Sasa si umeshasema alikuwa anakopa sana!
 
Wewe JUHA hivi unajua kusoma vizuri?

Hivi unajua Magu ndani ya Miaka 6 tu ya utawala wake, LILIKOPA pesa nyingi kinoma kuliko pesa zote ambazo Kikwete alikopa miaka yote 10 ya UTAWALA Wake?


Kwahiyo Magu kukopa pesa nyingi ndani ya miaka 6 ya utawala wake ndio kunamfanya kuwa FISADI?
 
Ila wewe mwenye akili umeshindwa kujibu maswali niliyouliza mimi 'nisiye na akili'? hongera kwa kuwa na akili
Sikilizia wewe kiazi, soma tena swali lako ulilo uliza halafu soma jibu langu.

Ukimaliza Kanye labda akili zitakurudia.
 
Umeisoma ripoti ya CAG?

Unaamini CAG ametunga tu ufisadi uliofanyika awamu hiyo kumchafua mpendwa wako na utawala wako?
Kwa mujibu wa wanasiasa uchwara alikuwa anakopa sana ili ku finance hiyo miradi,sasa hizo trillions alizofisadi zinatoka wapi?
 
màgufool atakumbukwa kwa uwezo wake wa kupika data na kuongea uongo

#tunajenga kwa pesa za ndani



So alikuwa anapika data na kuongea uongo lakini Tanzania ikawa moja ya nchi ambazo uchumi ulikuwa unakuwa kwa kasi ndani ya Africa,

na bado akafanikiwa kuanzisha miradi yote hiyo aliyoiacha,kwa kutumia uongo wake na kupika data?

Na bado akaweza kufisadi matrillion ya shilingi?

Duuh!! basi jamaa alikuwa so GENIUS
 
Umeisoma ripoti ya CAG?

Unaamini CAG ametunga tu ufisadi uliofanyika awamu hiyo kumchafua mpendwa wako na utawala wako?


Unaelewa report ya CAG inaongelea mambo katika misingi ipi?au umeisoma ili uonekane na wewe umeisoma?
 
Magufuli hakufanikiwa kwa chochote kizuri.

Hata kumuua Lissu licha ya kutumia risasi zaidi 30 Kama anaua chatu lakini ALIFELI.

TAZARA flyover Ni msaada was Japana.

Ubungo Flyover Ni msaada wa WORLD BANK.

FLYOVER ya Ocean Road Ni mkopo.

Nyerere bridge Ni Mkopo.

SGR Ni Mkopo.

Kafa Hakuna alichomaliza zaidi ya KUKOPA na kurudi CHAGUZI UCHWARA kuwapa ulaji kina Mwita waitara
 
Ungewauliza pia baada ya magufuli kufa matrilioni aliyofilisi yako wapi?
 



Kwahiyo hivyo vyote ni BATILI kwa sababu vimetokana na mikopo?

Na kwa mujibu wa akili zako UFISADI wa JPM unathibitishwa kwa hivyo vyote ulivyotaja hapo juu kukamilishwa kwa mikopo?
 
Unazungumzia miradi gani ambayo aliiacha huyo fool's hero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…