Sanyambila
JF-Expert Member
- Jan 24, 2018
- 378
- 510
Mpendwa MCH. Peter Msigwa, Umekuwa mwanachama mtiifu Kama siyo mwaminifu nionavyo Mimi katika chama chako tangu umejiunga nacho 2000+ vita ulipigana , vita vile vya heri na fitina ulivifaulu saaana hongera saana.
Hatimaye Leo umejiunga na Adui wako na chama chako wa takribani miaka 30 Sasa ukaona yanini haya madhira japo umeita ni uduni wa demokrasia ndani ya chama chako Cha zamani sawa ndivyo uonavyo basi aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo ........
Umekuwa Kiongozi wa Nyasa miaka 5 au 10 kichwa changu ni karatasi likiloana maandishi yanapotea kutoka kwa brother mmoja hivi hakulalamika kama alilalamika basi hakuahama chama mafikiri bado yupo je ni hili tu ama Kuna mengineyo??????
Wasia wangu juu ya busara zako ni hivi. Ni haki yako kikatiba Sasa kama mpitaji nakumbia haya👇👇👇👇
Sawa kila raheli Msigwa ni uamuzi wako na utaheshimiwa Ila umeenda huko usiibomowe chadema ni kama Mama yako amekuzaa ,amekukuza, amekuhimalisha kisiasa mpaka umeonekana na kutambuliwa, hatimaye umekuwa gangwe Kama siyo gwiji la siasa onyesha ukomavu na siyo kuidharau, kubeza na kukiangusha chama mama yako
Uwasalimie akina kafulila, kitila,Nasari, molleli, na brother Mwita
Kila raheli Msigwa bye bye
Usia toka kwangu