Sawa Mbowe umemfanyia favours nyingi Lissu katika career yake lakininkumbuka ilipaswa afe kwa ajili ya chama, hiyo favour inazidiwa na ipi?

Sawa Mbowe umemfanyia favours nyingi Lissu katika career yake lakininkumbuka ilipaswa afe kwa ajili ya chama, hiyo favour inazidiwa na ipi?

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
Nimeona mahojiano ya kikeke na mbowe.

Mbowe anasema amemfanyia mambo mengi ya kiutu ili kuboost safari ya mafanikio ya Lissu.

Kana kwamba anasema lissu hapaswi kumfanyia hivi kwa maana yuko liable na msaada wake.

But dude, this guy almost died for you and your people , hio yote bado haijalipa fadhila zako.

Although Lissu nae sio mkamilifu, Mi nafikiri kuna kitu hakiko sawa na Mbowe. Kuna unafiki mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom