Sawa mnasema Polepole ni muongo, lakini mnamuona Angela Kizigha na Samia ukaribu wao?

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,505
Reaction score
40,002
Ukiona ukaribu wa huyu mtu na Rais Samia si bure. Kuna jambo na mimi kwa akili yangu nimeanza kuamini anayoongea Polepole kuwa yana ukweli asilimia Mia moja.

Kwanza kwanini Kizinga from no where awe mtu wa karibu sana wa Samia? Kumbukeni enzi Samia akiwa makamu na hata siku za mwanzo za urais wake hawa watu hawakuwa karibu kabisa. Ukimuangalia jinsi anavyoratibu mambo ni kama katibu wake. Lipo jambo.

Kwanini huyu katibu wake ahusishwe na ufisadi wa tenda za jeshi? Lakini jueni kuwa ni kweli anasambaza vifaa vya jeshi ikiwemo jezi za kazi. Kwanini ajiweke karibu na Rais wakati tayari ana tenda nyeti? Anatafuta nini la zaidi kwenye ukaribu huo?

Hapana, kuna kitu lazima tumuelewe Polepole.

Kwanini Magufuli from no where alimfukuza Membe CCM? Kumbukeni hatukuwahi kuelezwa sababu za Membe kufukuzwa. Lipo jambo na Polepole si wa kupuuzwa tena.
 
Kiziga alipewa tenda na JPM, akaiba kipindi cha JPM, JPM na machachari yake yote hakumchukulia hatua-walipiga wote
 
picha inaleta utamu zaidi na kuaminika.
 
Kwanini Magufuli from no where alimfukuza Membe CCM? Kumbukeni hatukuwahi kuelezwa sababu za Membe kufukuzwa. Lipo jambo na Polepole si wa kupuuzwa tena.
Sio magufuli alijiamulia tu hapana ni baada ya uchunguzi na kubainika nia ovu ya kutaka kumuuwa magufuli iliyokuwa inapangwa na Membe amabye ni miongoni mwa wanamtandao..na viongozi wote wa juu wa chama wanajua hilo.
 
Kiziga alipewa tenda na JPM, akaiba kipindi cha JPM, JPM na machachari yake yote hakumchukulia hatua-walipiga wote
Angela kiziga alikuwa tayari kafunguliwa kesi kubwa jarada lilikuwa tayari kwa DPP alichofanya ni kuungana na Rostam na Genge lake ibilisi ccm wakamuua mapema kabla kesi ya Ufisadi wa Angela kiziga haijaibuka , baada ya kufa tu akazunguka akatoa Rushwa jarada likafichwa lipo stoo hata mama mkoloni kaburu wakikosana anaweza kuifufua kesi
 
Kwa Sasa Rostam Aziz ni hatari zaidi ya Angela kaziga kwani yeye anaweza kutoa Amri lisu afanywe chochote na chadema idhoofishwe ili Mbowe areje kuwa mwenyekiti kwa njia haramu za kishetani kams Lipumba wa CUF
Ni Aibu sana kwa Utu wa Mtanzania na Aibu kwa vyombo vya Usalama kukubali kuendeshwa na kuburuzwa na Rastam ambaye hakuwahi kuchaguliwa na yeyote kuongoza Nchi
 
Back
Top Bottom