Kwanini Alifukuzwa?Membe alifukuzwa na CCM Muwage mnaelewa
picha inaleta utamu zaidi na kuaminika.Ukiona ukaribu wa huyu mtu na Rais Samia si bure. Kuna jambo na mimi kwa akili yangu nimeanza kuamini anayoongea Polepole kuwa yana ukweli asilimia Mia moja.
Kwanza kwanini Kizinga from no where awe mtu wa karibu sana wa Samia? Kumbukeni enzi Samia akiwa makamu na hata siku za mwanzo za urais wake hawa watu hawakuwa karibu kabisa. Ukimuangalia jinsi anavyoratibu mambo ni kama katibu wake. Lipo jambo.
Kwanini huyu katibu wake ahusishwe na ufisadi wa tenda za jeshi? Lakini jueni kuwa ni kweli anasambaza vifaa vya jeshi ikiwemo jezi za kazi. Kwanini ajiweke karibu na Rais wakati tayari ana tenda nyeti? Anatafuta nini la zaidi kwenye ukaribu huo?
Hapana, kuna kitu lazima tumuelewe Polepole.
Kwanini Magufuli from no where alimfukuza Membe CCM? Kumbukeni hatukuwahi kuelezwa sababu za Membe kufukuzwa. Lipo jambo na Polepole si wa kupuuzwa tena.
Sio magufuli alijiamulia tu hapana ni baada ya uchunguzi na kubainika nia ovu ya kutaka kumuuwa magufuli iliyokuwa inapangwa na Membe amabye ni miongoni mwa wanamtandao..na viongozi wote wa juu wa chama wanajua hilo.Kwanini Magufuli from no where alimfukuza Membe CCM? Kumbukeni hatukuwahi kuelezwa sababu za Membe kufukuzwa. Lipo jambo na Polepole si wa kupuuzwa tena.
Kamati kuuChini ya nani?
Angela kiziga alikuwa tayari kafunguliwa kesi kubwa jarada lilikuwa tayari kwa DPP alichofanya ni kuungana na Rostam na Genge lake ibilisi ccm wakamuua mapema kabla kesi ya Ufisadi wa Angela kiziga haijaibuka , baada ya kufa tu akazunguka akatoa Rushwa jarada likafichwa lipo stoo hata mama mkoloni kaburu wakikosana anaweza kuifufua kesiKiziga alipewa tenda na JPM, akaiba kipindi cha JPM, JPM na machachari yake yote hakumchukulia hatua-walipiga wote
Njama za kumuua magufuli zilipobainikaKwanini Alifukuzwa?
Kwa Sasa Rostam Aziz ni hatari zaidi ya Angela kaziga kwani yeye anaweza kutoa Amri lisu afanywe chochote na chadema idhoofishwe ili Mbowe areje kuwa mwenyekiti kwa njia haramu za kishetani kams Lipumba wa CUFUchawa umewaziba masikio na kuwafumba macho ,na mbaya zaidi ni ubinafsi uliowajaa
Kwa hiyo mtu anayetaka kumuua Rais dawa yake ni kumfukuza chama?. Hivyo Tu?Sio magufuli alijiamulia tu hapana ni baada ya uchunguzi na kubainika nia ovu ya kutaka kumuuwa magufuli iliyokuwa inapangwa na Membe amabye ni miongoni mwa wanamtandao..na viongozi wote wa juu wa chama wanajua hilo.
Ni Aibu sana kwa Utu wa Mtanzania na Aibu kwa vyombo vya Usalama kukubali kuendeshwa na kuburuzwa na Rastam ambaye hakuwahi kuchaguliwa na yeyote kuongoza NchiKwa Sasa Rostam Aziz ni hatari zaidi ya Angela kaziga kwani yeye anaweza kutoa Amri lisu afanywe chochote na chadema idhoofishwe ili Mbowe areje kuwa mwenyekiti kwa njia haramu za kishetani kams Lipumba wa CUF
Uzalendo wao uko kwenye kupiga mabomu Chademaivi ile stori ya jeshi wanafundishwa uzalendo nani aliitunga
maana utofauti unajionesha kabisa, vyombo havina uzalendo wowote