KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Jun 24, 2024 #1 Ishi kwa kutumia akili usishupaze sana bichwa utaumiza shingo!.. Pima unapotakiwa ukae kimya na unapotakiwa uongee! Hata kama unachoongea/fanya kipo sawa kinaweza kisiwe sawa na ulionao au ulipo!. Ishi kwa kuzingatia sheria za asili/mazingira.
Ishi kwa kutumia akili usishupaze sana bichwa utaumiza shingo!.. Pima unapotakiwa ukae kimya na unapotakiwa uongee! Hata kama unachoongea/fanya kipo sawa kinaweza kisiwe sawa na ulionao au ulipo!. Ishi kwa kuzingatia sheria za asili/mazingira.
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,013 Reaction score 14,263 Jun 24, 2024 #2 ACHA UOGA