Sawa na kutokuwa sawa inategemea upo wapi

Sawa na kutokuwa sawa inategemea upo wapi

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Ishi kwa kutumia akili usishupaze sana bichwa utaumiza shingo!.. Pima unapotakiwa ukae kimya na unapotakiwa uongee! Hata kama unachoongea/fanya kipo sawa kinaweza kisiwe sawa na ulionao au ulipo!.

Ishi kwa kuzingatia sheria za asili/mazingira.
 
Back
Top Bottom