Sawa TFF mmemfungia Shaffih, Je vipi kuhusu Haji Manara?

Sawa TFF mmemfungia Shaffih, Je vipi kuhusu Haji Manara?

kasenene

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2008
Posts
1,632
Reaction score
2,413
Natumai kamati ya nidhamu itakuwa inajipanga na kutoa adhabu kama hii kwa Yule ponjoro Haji Manara kwa kauli yake ya sio kuchafua tu soka la Tanzania bali ilihatarisha usalama wa mchezo huo kwa kauli aliyopost kwenye account yake ya Instagram kama alivyofanya Shaffih.

Tunasubiri kuona maamuzi...
 
Ila watanzania mna roho mbaya plus chuki yani wewe jamaa ndio yule ulikua kama mmefanya jambo ukakamatwa na wewe wenzako hawajaonekana unasema mbona tulikua na flani unawataja wenzako Assume Manara kafungiwa utafaidika na nini Boss hapa duniani tunapita tu wacha kushangilia matatizo ya wenzako kesho kwa manara keshokutwa kwako
Jifunze kuishi
 
TFF ni ya hovyo wanawafungia watu wa mpira ili wabaki wao wasipingwe kitu chochote huyo Shafii ni mmoja wa Watanzania wachache wanaozunguka kuangalia na kutoa taarifa za mpira huku wakina Karia mkiwa Ilala leo hii mnamfungia kwa sababu ya uongozi mbinu za Blatter za zamani hizo...
 
chokonoa Simba, Chokonoa Yanga, lakini ole wako uichokonoe midikteta ya tff, ile mijitu ya tff haitaki kukosolewa aisee.

Natumai kamati ya nidhamu itakuwa inajipanga na kutoa adhabu kama hii kwa Yule ponjoro Haji Manara kwa kauli yake ya sio kuchafua tu soka la Tanzania bali ilihatarisha usalama wa mchezo huo kwa kauli aliyopost kwenye account yake ya Instagram kama alivyofanya Shaffii...

Tunasubiri kuona maamuzi...
Wanamalizana na Wanasheria juu ya lile andiko lake kule Instagram ili Wajiridhishe kwa upana wake na baada ya happy tegemea kusikia Rungu Kubwa Kwake huenda hata kuliko hili alilopewa Shaffih Dauda.
 
Natumai kamati ya nidhamu itakuwa inajipanga na kutoa adhabu kama hii kwa Yule ponjoro Haji Manara kwa kauli yake ya sio kuchafua tu soka la Tanzania bali ilihatarisha usalama wa mchezo huo kwa kauli aliyopost kwenye account yake ya Instagram kama alivyofanya Shaffii...

Tunasubiri kuona maamuzi...
Mkuu, alikuudhi nini huyo?
Usipoangalia utasema na ambayo hukukusudia!
 
Natumai kamati ya nidhamu itakuwa inajipanga na kutoa adhabu kama hii kwa Yule ponjoro Haji Manara kwa kauli yake ya sio kuchafua tu soka la Tanzania bali ilihatarisha usalama wa mchezo huo kwa kauli aliyopost kwenye account yake ya Instagram kama alivyofanya Shaffih.

Tunasubiri kuona maamuzi...

Utapata faida gani akifungiwa? Ukiendekeza tabia za aina hii ujanani, basi jiandae uzeeni kuwa mchawi.
 
Natumai kamati ya nidhamu itakuwa inajipanga na kutoa adhabu kama hii kwa Yule ponjoro Haji Manara kwa kauli yake ya sio kuchafua tu soka la Tanzania bali ilihatarisha usalama wa mchezo huo kwa kauli aliyopost kwenye account yake ya Instagram kama alivyofanya Shaffih.

Tunasubiri kuona maamuzi...
Utamshitaki kwa kosa lipi? lile andiko lina utata hajatajwa mtu wala team
 
Hawana ushahid juu la hilo coz Manara hakuitaja jina la timu yeyote
 
Back
Top Bottom