NAKAZIATff washafanya kazi yao,.hilo la manara tumekuachia wewe...
Wanamalizana na Wanasheria juu ya lile andiko lake kule Instagram ili Wajiridhishe kwa upana wake na baada ya happy tegemea kusikia Rungu Kubwa Kwake huenda hata kuliko hili alilopewa Shaffih Dauda.Natumai kamati ya nidhamu itakuwa inajipanga na kutoa adhabu kama hii kwa Yule ponjoro Haji Manara kwa kauli yake ya sio kuchafua tu soka la Tanzania bali ilihatarisha usalama wa mchezo huo kwa kauli aliyopost kwenye account yake ya Instagram kama alivyofanya Shaffii...
Tunasubiri kuona maamuzi...
Mkuu, alikuudhi nini huyo?Natumai kamati ya nidhamu itakuwa inajipanga na kutoa adhabu kama hii kwa Yule ponjoro Haji Manara kwa kauli yake ya sio kuchafua tu soka la Tanzania bali ilihatarisha usalama wa mchezo huo kwa kauli aliyopost kwenye account yake ya Instagram kama alivyofanya Shaffii...
Tunasubiri kuona maamuzi...
Natumai kamati ya nidhamu itakuwa inajipanga na kutoa adhabu kama hii kwa Yule ponjoro Haji Manara kwa kauli yake ya sio kuchafua tu soka la Tanzania bali ilihatarisha usalama wa mchezo huo kwa kauli aliyopost kwenye account yake ya Instagram kama alivyofanya Shaffih.
Tunasubiri kuona maamuzi...
Utamshitaki kwa kosa lipi? lile andiko lina utata hajatajwa mtu wala teamNatumai kamati ya nidhamu itakuwa inajipanga na kutoa adhabu kama hii kwa Yule ponjoro Haji Manara kwa kauli yake ya sio kuchafua tu soka la Tanzania bali ilihatarisha usalama wa mchezo huo kwa kauli aliyopost kwenye account yake ya Instagram kama alivyofanya Shaffih.
Tunasubiri kuona maamuzi...