Sawa tumekubali Harmonize atapotea. Je,WCB ina uwezo wa kumtengeneza Harmonize mwingine?

Sawa tumekubali Harmonize atapotea. Je,WCB ina uwezo wa kumtengeneza Harmonize mwingine?

Harmonize ameachieve kitu gani kikubwa zaidi ya Wasanii wengine wa WCB?

Rayvanny vitu alivyo achieve.
1.Tuzo ya BET
2.Kupiga show kwenye tamasha la Essence US,ambao lilijumuisha mastaa wengi
View attachment 1223543

3.Nyimbo yake ya Tetema imekuwa streamed mara mil 1 Sportfy ndani ya miezi miwili.Hapo hujagusa Itunes,Tidal,Shazam nk.
View attachment 1223546

Hivyo vitu vitatu hata Mondi mwenyewe hajawahi achieve kwenye maisha yake ya mziki.
Mleta mada hizo data hawezi kuzielewa.
Wamezoea ubishani wa kishabiki kwenye vijiwe, statistics kama hizo ambazo ziko solid huwa wanazipinga kwa hadithi za "naniliu mbona alisema......".
 
Mleta mada hizo data hawezi kuzielewa.
Wamezoea ubishani wa kishabiki kwenye vijiwe, statistics kama hizo ambazo ziko solid huwa wanazipinga kwa hadithi za "naniliu mbona alisema......".
Statistics zisizo na kichwa wala miguu,unataka kunambia Rayvany ni bora kuliko Diamond kisa Diamond hajawahi kupata tuzo ya BET?
 
Statistics zisizo na kichwa wala miguu,unataka kunambia Rayvany ni bora kuliko Diamond kisa Diamond hajawahi kupata tuzo ya BET?
Umerudi kwenye ubishi wa vijiweni, hiyo sentensi 'Rayvanny ni bora kuliko Diamond kisa Diamond hajawahi kupata tuzo ya BET' umeitoa kichwani kwako.
Rejea mada na references zilizowekwa, point ya mtoa references ni kuwa Vanny ni bora kuliko Harmo(his opinion and you're entitled to yours as well) na akamwaga nondo zake. Nadhani dawa ni kwako kum'challenge kwa nondo zako pia.

Maoni yangu ni kuwa haihitajiki kutengeza Harmo mwingine, kila personality huwa na uniqueness na ndiyo binadamu tulivyo.
 
Weka vigezo hata kwa idadi ya show wanazopiga kwa mwaka,zina karibiana.
Tukitumia criteria za 2018 Harmo alifanya vizuri lkn overall Rayvanny ameachieve vingi WCB kwa mda fupi kuliko Harmo na Hapo ukiangalia Rayvanny nyimbo alizoachia ni chache kuliko Harmonize mwenye nyimbo nyingi na collabo kibao.
Rayvan bila kutoa nyimbo na diamond hana tofauti na bestnaso
 
Rayvanny hana ngoma nyingi ukilinganisha na Harmonize.Diamond alitumia nguvu nyingi kumpromote Harmo sababu watu wengi walidai ana fanana naye sauti,ndio maana Harmo alitoa ngoma nyingi ili muizoee sauti yake baadaye muone utofauti na sauti Diamond.Rayvany ana ngoma chache na hata collabo anazo chache,ukilinganisha na Harmo.
kamebebwa na diamond lakini hata hakabebeki
 
Unataka kutoka?

Mdiss alikiba au team simba uone/ unavyokua star kesho early in the morning/
 
Rayvan bila kutoa nyimbo na diamond hana tofauti na bestnaso
Nitajie hiti zilizo mtambulisha Harmonize kimataifa ambayo hayupo Diamond?

Mondi anafanya vile sababu as induction kwa wasanii wake ile exposure,umaarufu alikuwa nao yy kupitia collabo ina mbeba msanii wake.

Jahpreyah wakati anachukua tuzo ya MTV MAMA,alimshukuru Diamond sababu collabo ili mbeba na kumtambulisha sehemu mbali mbali sio huyo itazame Yobe original na Rmx,lkn inayovuna na kutrend ni rmx.
 
Harmonize ameachieve kitu gani kikubwa zaidi ya Wasanii wengine wa WCB?

Rayvanny vitu alivyo achieve.
1.Tuzo ya BET
2.Kupiga show kwenye tamasha la Essence US,ambao lilijumuisha mastaa wengi
View attachment 1223543

3.Nyimbo yake ya Tetema imekuwa streamed mara mil 1 Sportfy ndani ya miezi miwili.Hapo hujagusa Itunes,Tidal,Shazam nk.
View attachment 1223546

Hivyo vitu vitatu hata Mondi mwenyewe hajawahi achieve kwenye maisha yake ya mziki.
Bila kusahau kishavunja record yakufikisha viewers wengi YouTube Kwa muda mfupi zaidi kuliko msanii yoyote tz,ana international hit songs,kama tetema na pepeta,huyo harmonize ananini zaidi yakutembelea nyota ya diamond? Nawashangaa sana watu wanaompa sifa harmo as if ni mkaliiiiiiii wakat juzi tu kajifanya anamrudisha qchiller kwenye game na kashindwa vibaya.

Harmonize bila WCB tutaona..!!!
 
We jamaa ni pumba sanaa ni sawa na kujitamba una followers wengi kumzidi Mohammed dewij... Muhimu mtonyo kuingiza kwa mwaka unafanana...

Kwahiyo utasema vanny boy ni zaidi ya diamond na harmonize
Acha utaahira ww,nani kakwambia mafanikio ya Harmonize yametokana muziki pekee?Utailinganishaje familia ambayo inamtegemea pekee na familia inayomtegemea mke na mume?Kipato cha Harmonize Kwa % kubwa ni mzungu.
 
.
FB_IMG_1570247624922.jpeg
 
Statistics zisizo na kichwa wala miguu,unataka kunambia Rayvany ni bora kuliko Diamond kisa Diamond hajawahi kupata tuzo ya BET?
Ishu ni harmo na rayvanny ila hizo record hata mond hajawahi fikisha sasa weka uthibitisho unaoonyesha kwamba harmo anamzidi rayvanny weka record tuzione zauyommakonde
 
Weka vigezo hata kwa idadi ya show wanazopiga kwa mwaka,zina karibiana.
Tukitumia criteria za 2018 Harmo alifanya vizuri lkn overall Rayvanny ameachieve vingi WCB kwa mda fupi kuliko Harmo na Hapo ukiangalia Rayvanny nyimbo alizoachia ni chache kuliko Harmonize mwenye nyimbo nyingi na collabo kibao.
Jamaa yuko sahihi. Harmonize ana Fanbase kubwa kuliko Rayvan.
 
Na kwanini wamtengeneze harmonize mwingine?
Watamtengeneza msanii mwingine mwenye jina tofauti na harmo na mtindo wa usanii tofauti na harmo..na huyo msanii atakua anatambulika kitofauti na harmo.
Nice..
Thread Closed.
 
Back
Top Bottom