Sawa tumekubali Harmonize atapotea. Je,WCB ina uwezo wa kumtengeneza Harmonize mwingine?

Sawa tumekubali Harmonize atapotea. Je,WCB ina uwezo wa kumtengeneza Harmonize mwingine?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bado hujajishtukia tuu..
Huyo anaitwa Jah prayzah..
Wewe ulikuwa umekazana JAH PREYAH.

Mbona hapo MTV wameandika jah prayzah??

Wewe huyo wako Jah preyah katoka wapi??
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kumbe unamjua tena mpaka herufi za jina lake unazifahamu,for me hio ni typing error,alafu unajifanya humjui huo UNAFIKI.
 
Huyo Mond aliondoka kwa bob Jr kwa amani? Mbona hakuangunga kaisanii?
Msimtishie nyau dogo. Huwezi kuishi kwenu siku zote.
Sio kwa bob jnr alikuwa chini ya papa misifa akamlipa milion 18 enzi zile akaondoka mbona jamaa hakuweka kinyongo
 
Master Jay alimkataa Harmonize kipindi cha Bongo starsch,ila Mond akamuokota na akamtengeneza akawa kaka sasa anavyojiita Kondeboy manake kaamua jitengeneza Upya,So wasafi hilo hawanashida watatengeneza Msanii mwingine sio Konde!Na linawezekana sana mana pale ni chuoni na mwalimu wa Muziki yupo pale.
 
Acha ujinga. ndo nyie mnapima ma viewers kwenye nyimbo ndo mafanikio eti..

Kuanzia mwaka jana na huu kuna msanii hapa aliyemzidi harmonize kwa kupiga show nyingi??

Na vipi show ya one music festival alilopiga marekani na mastaa kibao kisha wakahamia uingereza??

Kwa hiyo hayo unayosema mafanikio Ray Vanny kayapata ndo kampita mondi sasa??

Ficha ujinga wako

Ndani ya miezi mitatu . Mwezi wa 6 hadi wa 9 , Diamond kapiga shows Sawa na Harmonize alizopiga tangia mwaka jana ... over 40 shows
 
He Pals,,,,

I hope mko gud Ryt,,,,

okay, Freshhhh

Moja ya mijadala mingi iliyoko mitandaoni ni kuhusu Harmonize kujiondoa Kwenye lebo yake ya WCB,Ukifuatilia comment za mijadala hiyo wengi mashabiki wa Diamond platnumz (WCB) wanadai huo ndo mwisho wa Harmonize,in short atapotea kwenye game,Hilo hatuwez kubishana nalo coz ndo mfumo wa mziki wetu kuwa mikonon mwa baadhi ya watu.

Ila swali Langu ni je,WCB wana uwezo na nguvu tena ya kumtengeneza Harmonize mwingine?

Nakumbuka miaka kadhaa nyuma kuna lebo ilikuwa inajigamba kumtengeneza JAYZ na kumfikisha pale alipo,Siku moja Jayz akiwa anahojiwa na kituo kimoja aliulizwa kuhusu Hao watu wanao jigamba kumtengeneza yeye,Jayz aliwajibu "Kama ni rahisi kumtengeneza Jayz Basi wamtengeneze Jayz mwingine"

Swali Langu bado ni lile lile,Je WCB wanao uwezo tena wa kumtengeneza msanii wa levo ya Harmonize? Mana kwa wasanii walioko pale WCB hakuna wakufika Hata nusu ya Levo ya Harmonize ukimwondoa Diamond.

#Jimmy-The-Inimitable
Harmonize mwingine wa nini?
 
Yale yale walioliokuwa wakimalalmikiwa ruge ndo wanayoyafanya.
Maana naye alikuwa anapiga pin nyimbo za wale anaogombana nao same na wanachofanya WCB.
WCB ni wanafiki sijapata kuona, siku zote nilijua MOND anaonewa na CMG nikawa niko upande wake siku zote, na hata bifu lake na KIBA nilijua KIBA anakiburi lakini leo nimeprove wrong, wanajitangaza eti WASAFI TV yetu sote, sanaa imezaliwa upya, mbona nyimzo za HARMONIZE hampigi tangu amejitoa WCB? Yaani nawachukia WCB hadi baasi. mimi ilikuwa kila siku lazima niingie you tube kuangali nyimbo za WCB lakini kwa figisu anazofanyiwa KONDE BOY hadi inaniuuma utadhani mm ndo nafanyiwa hayo, mungu yuko pamoja na KONDEBOY god is good! pambana mdogo wangu tuko juma yako!
 
Hata Mavoco mlimwambia hivyi hivyo! Mwacheni afanye yake, hamna lolote la kumsaisia
WCB ni wanafiki sijapata kuona, siku zote nilijua MOND anaonewa na CMG nikawa niko upande wake siku zote, na hata bifu lake na KIBA nilijua KIBA anakiburi lakini leo nimeprove wrong, wanajitangaza eti WASAFI TV yetu sote, sanaa imezaliwa upya, mbona nyimzo za HARMONIZE hampigi tangu amejitoa WCB? Yaani nawachukia WCB hadi baasi. mimi ilikuwa kila siku lazima niingie you tube kuangali nyimbo za WCB lakini kwa figisu anazofanyiwa KONDE BOY hadi inaniuuma utadhani mm ndo nafanyiwa hayo, mungu yuko pamoja na KONDEBOY god is good! pambana mdogo wangu tuko juma yako!
 
Nimesema wapi kampita Diamond?

One Africa haifanani na Essence festival hata robo.

Ficha ujinga wako hebu soma tofauti ya stream sportfy na views Youtube.

Youtube kitonga,Sportfy unalipia ndio una stream.

Mwaka huu Rayvanny kapiga show nyingi na zenye hadhi ya juu kuliko Harmonize na ana miliki record kubwa sportfy.

Angalia matamasha aliyopiga Rayvanny mwaka huu,angalia list ya hao wasanii fananisha na One Africa.
View attachment 1224050

View attachment 1224051
pumba kabisa source za Facebook za ku edit.
 
pumba kabisa source za Facebook za ku edit.
We wasema,lkn hiyo habari ni valid na show hizo zote kapiga,kukataa kwako hakubadilishi kitu,umepewa reference ukitaka habari kamili google jina la hiyo festival itakupeleka mpaka kwenye website simple tu wala hutumii nguvu.
labda uko sportfy kuna watu wapuuzi puuzi utajuaje?
Najua kwa makusudi umeamua mwenyewe kutoku elewa atleast unge google ungeelewa sportfy ni nini na rate zake za malipo zipoje,kule sio youtube unaseleleka kule ,unahitajika ulipe ndio ustream na rate zake za malipo zipo juu sana.

Ila sikulaumu kwa kuwa umechaguwa mwenyewe kuto kuelewa na references nimeziweka,basi WE ENDELEA TU.
 
Wakiwekwa Diamond na Harmonize sehemu moja halafu nimchague msanii bora kati yao nitamchagua Harmonize bila kupepesa macho.
 
Na kwanini wamtengeneze harmonize mwingine?

Watamtengeneza msanii mwingine mwenye jina tofauti na harmo na mtindo wa usanii tofauti na harmo..na huyo msanii atakua anatambulika kitofauti na harmo.
Majibu sahihi ya jay z au huyo anayemuongelea Harmo yapo hapa
 
Kwa Tabia anayoionesha Diamond against Harmonize ndo naamini Jamaa ni mnyonyaji afadhali ya Ruge...!! Kama Ruge alikuwa Chatu huyu jamaa ni Anakondaaa... wasanii wake wanafanya kazi kubwa wanaishia kupewa zawadi za magari tu mamaee..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
ulichotakiwa kusema ni kuwa "tangu harmonize atoke WCB kwa wakati ambao mm napata muda wa ku-tune Wasafi Tv sijawah kuona wimbo wa harmonize ukichezwa"
kwa maana sidhani kama unatazama Tv muda wote,mm nakutana na nyimbo za harmonize mara nying zikichezwa kwenye lile tambara la Wasafi Tv.
Hao Mawingu hawachez hata wimbo alioshirikshwa Diamond yaan hata kama kuna msanii kamtaja jina kwenye wimbo wake Dj anaminya ili tu hicho kipande kisisikike.
Binafsi nawasifu Wasafi Tv kwa kutoendekeza mabifu kwenye media
Huwa najiuliza watangazaji wa clouds wanajisikiaje pale wanaporusha matangazo ambayo ndani yake kuna sauti ya Diamond.
 
Sema dogo kupotea lazma kosa alilofanya ni kushindwa kujitengengeza yeye na kujivika umond mwingi mno

Sasa Saiv atakuwa na kazi ya ziada ambayo anaweza asifanikishe kabisa
Hata kupelekea kushuka kimziki

Angalia collaboration yake ya juzi upande wa views amepigwa kweupeeeee mno

Na haijawah tokea harmo akatafta viewers 1m kwa wiki 2

Hapo mwanzo
 
Siyo rahisi kumtengeneza msanii mwingine wa kufanana na yule original...

Kwani unadhani Nandy kaweza kum-replace Ruby, hapana...

Kuna aliyeweza kum-replace Michael Jackson, hapana...

Kwani unadhani Rachel kaweza kum-replace Ray C, hapana...


Cc: mahondaw
Kila binadamu ni original copy of his own. Kumtaka mtu afanane na fulani ni upumbavu wa kiwango cha magogoni
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe unamjua tena mpaka herufi za jina lake unazifahamu,for me hio ni typing error,alafu unajifanya humjui huo UNAFIKI.
Unafki na Utanzania ni chanda na pete
 
Back
Top Bottom