HAhaha......ugomvi wa ngumi huuHakuna kazi halali isiyolipa kodi ijalishi nini unafanya nini ila uwe unatambulika na TRA na taasisi zengine kutokana na kazi yako.
Sasa hawa wasanii wetu wanaojitapa kuwa wanalipwa na mamilioni sijui wana pesa za kufa mtu kupitia sannaa zao mbona sijaona hata TRA kupewa cheti kama wanavyofanya kwa wafanyabisahra.
TCC hipo kwa kila mtu kama mlipaji kodi mzuri.
Wanatembea na hela za vigogo tu.Wale ni wasanii, nasema ni wasanii.
Wanafanya kila kitu kisanii.
Wakiugua, wanapiga kelele tuwachangie kununua Panadol nk.
ushafungua hata duka ukawa na TIN tuanze hapoTafsiri yako juu kuwa na pesa kwamba lazima uwe mlipa kodi mkubwa, ni nyembamba sana.
Kuna watu utajiri wao unaongezeka through capital gain, may be amana zao zimeongezeka thamani, ila haimaanishi ya kuwa eti atakuwa analipa kodi. Ila utajiri wake utakuwa umeongezeka maradufu na maradufu, sijui kama umeelewa?
Ulaya majigambo yako ndio TRA inazidi kukuchunguza unajua kwa nini wasanii wa USA wanasumbuliwa na kodi sana.Tafsiri yako juu kuwa na pesa kwamba lazima uwe mlipa kodi mkubwa, ni nyembamba sana.