LH XiV JF-Expert Member Joined Nov 27, 2016 Posts 346 Reaction score 352 Jan 24, 2017 #1 Habarini wadau, Uzi huu ni kuweka bayana mambo uonayo sawa na si sawa katika jamii.... Ni sawa kumpisha mzee kwenye siti ya daladala, si sawa kuwaacha washkaji ili umpe lifti mdada.
Habarini wadau, Uzi huu ni kuweka bayana mambo uonayo sawa na si sawa katika jamii.... Ni sawa kumpisha mzee kwenye siti ya daladala, si sawa kuwaacha washkaji ili umpe lifti mdada.
Trimmer JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 2,443 Reaction score 4,007 Jan 24, 2017 #2 Ni sawa kuwa wa kwanza ku comment,, Si sawa kupita bila ku comment..
kabon14 JF-Expert Member Joined Jun 14, 2016 Posts 1,233 Reaction score 867 Jan 24, 2017 #3 Ni sawa kufikiria Si sawa kufikiria ujinga