Acha bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimefuatlia reports za mechi za misimu miwili ya timu ya Diffaa al Jadid ya Morocco na kubaini kuwa jamaa hajacheza tangu Feb 27 2022. Simba wamemuonaje huyu kama anawafaa?
Mwenye rekodi tofauti na hii anirekebishe.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Dejan Georgivic mweusiNimefuatlia reports za mechi za misimu miwili ya timu ya Diffaa al Jadid ya Morocco na kubaini kuwa jamaa hajacheza tangu Feb 27 2022. Simba wamemuonaje huyu kama anawafaa?
Mwenye rekodi tofauti na hii anirekebishe.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Atacheza simba sasaNimefuatlia reports za mechi za misimu miwili ya timu ya Diffaa al Jadid ya Morocco na kubaini kuwa jamaa hajacheza tangu Feb 27 2022. Simba wamemuonaje huyu kama anawafaa?
Mwenye rekodi tofauti na hii anirekebishe.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Eleza vizuri.Unataka kutueleza nini?Sawanogo ndiyo nani?Kuhusu nini?Nimefuatlia reports za mechi za misimu miwili ya timu ya Diffaa al Jadid ya Morocco na kubaini kuwa jamaa hajacheza tangu Feb 27 2022. Simba wamemuonaje huyu kama anawafaa?
Mwenye rekodi tofauti na hii anirekebishe.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Nimefuatlia reports za mechi za misimu miwili ya timu ya Diffaa al Jadid ya Morocco na kubaini kuwa jamaa hajacheza tangu Feb 27 2022. Simba wamemuonaje huyu kama anawafaa?
Mwenye rekodi tofauti na hii anirekebishe.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Sasa kama alikuwa majeruhi mmemuona kwenye mechi zipi akiwa timamu mpaka mumsajili? Unamsema musonda msimu huu ana goli ngapi? Na uyo mchezaji wako amecheza mechi ngapi za kiushindani?Alikuwa majeruhi vipi
Musonda misimu 5 ana goli 21 ndugu zetu utopolo mnakwama wapi?
Awa Ngada wanapitia kipindi kigumu cha ukata awana pesa za kuvunja mikataba ya wachezaji wa maana, Mhindi wa bombay kaweka mtego wake kuipeleka timu dubai akiwa amelenga uchaguzi utakaofanyika mwezi huu, tiyali keshaset mtu wake pale ili atumie iyo kumnadi kijanja, Uwezi kuwa na akili timamu unatumia pesa nyingi kupeleka timu dubai alafu unakosa pesa ya usajiliIsmael sawanogo, try again kala deal na wakala
Hivi, issue ya Manzoki na Simba imefikia wapi? Jamaa ni kisu sana yule kwenye ushambuliaji. Dah Simba wametukosesha usingizi tu Leo.Sasa kama alikuwa majeruhi mmemuona kwenye mechi zipi akiwa timamu mpaka mumsajili? Unamsema musonda msimu huu ana goli ngapi? Na uyo mchezaji wako amecheza mechi ngapi za kiushindani?
Umenielewa vizuri sanaEleza vizuri.Unataka kutueleza nini?Sawanogo ndiyo nani?Kuhusu nini?
Trend ya hayo magoli ikoje? Yanaongezeka kadri misimu inavyoendaAlikuwa majeruhi vipi
Musonda misimu 5 ana goli 21 ndugu zetu utopolo mnakwama wapi?