Sawanogo hajacheza mechi yoyote tangu Feb. 2022

Sawanogo hajacheza mechi yoyote tangu Feb. 2022

Nimefuatlia reports za mechi za misimu miwili ya timu ya Diffaa al Jadid ya Morocco na kubaini kuwa jamaa hajacheza tangu Feb 27 2022. Simba wamemuonaje huyu kama anawafaa?

Mwenye rekodi tofauti na hii anirekebishe.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Acha bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Nimefuatlia reports za mechi za misimu miwili ya timu ya Diffaa al Jadid ya Morocco na kubaini kuwa jamaa hajacheza tangu Feb 27 2022. Simba wamemuonaje huyu kama anawafaa?

Mwenye rekodi tofauti na hii anirekebishe.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Dejan Georgivic mweusi
 
Eleza vizuri.Unataka kutueleza nini?Sawanogo ndiyo nani?Kuhusu nini?
 
SIMBA dirisha dogo inavizia wachezaji huru, ninasikia huyu Ismael Sawadogo na Makusu ni wachezaji huru.Makusu Jana alipangwa kikosi cha DR Congo kwenye mashindano yanayoendelea ya CHAN , lakini sikuona ufundi wake.
SIMBA itachukua muda wachezaji hawa kuingia kwenye kikosi cha kwanza, mpaka watengenezwe kupata utimamu,wa kimwili.kama wamekaa kipindi kirefu bila kucheza.
Siku zote klabu huwa zinaachana na wachezaji ambao viwango vyao vimeshuka

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Alikuwa majeruhi vipi
Musonda misimu 5 ana goli 21 ndugu zetu utopolo mnakwama wapi?
Sasa kama alikuwa majeruhi mmemuona kwenye mechi zipi akiwa timamu mpaka mumsajili? Unamsema musonda msimu huu ana goli ngapi? Na uyo mchezaji wako amecheza mechi ngapi za kiushindani?
 
Ismael sawanogo, try again kala deal na wakala
Awa Ngada wanapitia kipindi kigumu cha ukata awana pesa za kuvunja mikataba ya wachezaji wa maana, Mhindi wa bombay kaweka mtego wake kuipeleka timu dubai akiwa amelenga uchaguzi utakaofanyika mwezi huu, tiyali keshaset mtu wake pale ili atumie iyo kumnadi kijanja, Uwezi kuwa na akili timamu unatumia pesa nyingi kupeleka timu dubai alafu unakosa pesa ya usajili
 
Sasa kama alikuwa majeruhi mmemuona kwenye mechi zipi akiwa timamu mpaka mumsajili? Unamsema musonda msimu huu ana goli ngapi? Na uyo mchezaji wako amecheza mechi ngapi za kiushindani?
Hivi, issue ya Manzoki na Simba imefikia wapi? Jamaa ni kisu sana yule kwenye ushambuliaji. Dah Simba wametukosesha usingizi tu Leo.
 
Back
Top Bottom