Sawanogo hajacheza mechi yoyote tangu Feb. 2022

Inawezekana Simba kuna ukata. Wanawezaje kumsajili mtu ambaye hajacheza msimu nzima?

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama alikuwa majeruhi mmemuona kwenye mechi zipi akiwa timamu mpaka mumsajili? Unamsema musonda msimu huu ana goli ngapi? Na uyo mchezaji wako amecheza mechi ngapi za kiushindani?
Kwani thaddeo lwanga ilikuwaje si alikuwa majeruhi mziki wake unaujua alipofika hapa bongo
 
Sasa kama alikuwa majeruhi mmemuona kwenye mechi zipi akiwa timamu mpaka mumsajili? Unamsema musonda msimu huu ana goli ngapi? Na uyo mchezaji wako amecheza mechi ngapi za kiushindani?
Kwani thaddeo lwanga tulimsajili alipokuwa majeruhi mziki wake unaujua alipofika hapa bongo
 
Kwani thaddeo lwanga tulimsajili alipokuwa majeruhi mziki wake unaujua alipofika hapa bongo
Kwaiyo mmekuwa watu wa kubahatisha mkijua mtampata thadeo lwanga tena katika hao mnaookota kwa mkopo, kaangalie cv yake kwanza uyo sawadogo alafu urudi hapa
 
Ndiyo huyo kila mwaka anayehama timu?
Baada ya msimu, wajiandae kumtafuta mbadala wake, kama ndiyo. Hakai timu moja miaka 2 huyo 😃😃😃😃😃😃
 
Hivi, issue ya Manzoki na Simba imefikia wapi? Jamaa ni kisu sana yule kwenye ushambuliaji. Dah Simba wametukosesha usingizi tu Leo.
Ni wazee wa propaganda za kijinga unafikiri wanayo pesa ya kuvunja mkataba wake, unategemea mchangishane pesa ya kusajili utapata wapi wachezaji wazuri kama sio kuambulia kina sawa kubwa wa kupewa bure🤣🤣
 
Umesahau kwamba Simba ndiyo timu ya kwanza kuleta wabrazil...Fraga na wenzie

Wewe upo Tanzania hii au sajili imekuchanganya Simba ndio timu ya kwanza kuleta wabrazili labda wa kutoka mwananyamala

Unamfahamu Jaja wewe, unamfahamu Coutinho wewe

Hebu amka hapo ulipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…