3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
Jisomee mwenyeweTrend ya hayo magoli ikoje? Yanaongezeka kadri misimu inavyoenda
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jisomee mwenyeweTrend ya hayo magoli ikoje? Yanaongezeka kadri misimu inavyoenda
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Inawezekana Simba kuna ukata. Wanawezaje kumsajili mtu ambaye hajacheza msimu nzima?Awa Ngada wanapitia kipindi kigumu cha ukata awana pesa za kuvunja mikataba ya wachezaji wa maana, Mhindi wa bombay kaweka mtego wake kuipeleka timu dubai akiwa amelenga uchaguzi utakaofanyika mwezi huu, tiyali keshaset mtu wake pale ili atumie iyo kumnadi kijanja, Uwezi kuwa na akili timamu unatumia pesa nyingi kupeleka timu dubai alafu unakosa pesa ya usajili
Kwani thaddeo lwanga ilikuwaje si alikuwa majeruhi mziki wake unaujua alipofika hapa bongoSasa kama alikuwa majeruhi mmemuona kwenye mechi zipi akiwa timamu mpaka mumsajili? Unamsema musonda msimu huu ana goli ngapi? Na uyo mchezaji wako amecheza mechi ngapi za kiushindani?
Kwani thaddeo lwanga tulimsajili alipokuwa majeruhi mziki wake unaujua alipofika hapa bongoSasa kama alikuwa majeruhi mmemuona kwenye mechi zipi akiwa timamu mpaka mumsajili? Unamsema musonda msimu huu ana goli ngapi? Na uyo mchezaji wako amecheza mechi ngapi za kiushindani?
Kwaiyo mmekuwa watu wa kubahatisha mkijua mtampata thadeo lwanga tena katika hao mnaookota kwa mkopo, kaangalie cv yake kwanza uyo sawadogo alafu urudi hapaKwani thaddeo lwanga tulimsajili alipokuwa majeruhi mziki wake unaujua alipofika hapa bongo
Ndo msajili mchezaji ambaye hajacheza mwaka mzima?Kwani thaddeo lwanga tulimsajili alipokuwa majeruhi mziki wake unaujua alipofika hapa bongo
21÷5 = 4( musonda)Kwaiyo mmekuwa watu wa kubahatisha mkijua mtampata thadeo lwanga tena katika hao mnaookota kwa mkopo, kaangalie cv yake kwanza uyo sawadogo alafu urudi hapa
Overall, anaongeza ubora wake as seasons go Na current form yake ni superJisomee mwenyewe
Current form yake kwa sasa ikoje? Inaonekana wewe una akili sana kuwazidi ata scout wa Tp mazembe waliompandia ndege kumfata zambia
Ni wazee wa propaganda za kijinga unafikiri wanayo pesa ya kuvunja mkataba wake, unategemea mchangishane pesa ya kusajili utapata wapi wachezaji wazuri kama sio kuambulia kina sawa kubwa wa kupewa bure🤣🤣Hivi, issue ya Manzoki na Simba imefikia wapi? Jamaa ni kisu sana yule kwenye ushambuliaji. Dah Simba wametukosesha usingizi tu Leo.
wabaki kupiga porojo tu10% za watu hizo kaka
Umesahau kwamba Simba ndiyo timu ya kwanza kuleta wabrazil...Fraga na wenzieSingida inawezaje kuleta wabrazil na Simba inashindwa?
Acha tunyamaze tusubiri tuone
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kwanini isiwe Yanga iwalete hao Wabrazil?Singida inawezaje kuleta wabrazil na Simba inashindwa?
Acha tunyamaze tusubiri tuone
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Koneksheni mkuuNimefuatlia reports za mechi za misimu miwili ya timu ya Diffaa al Jadid ya Morocco na kubaini kuwa jamaa hajacheza tangu Feb 27 2022. Simba wamemuonaje huyu kama anawafaa?
Mwenye rekodi tofauti na hii anirekebishe.
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Wewe kweli ni Mbumbumbu,Jaja na Coutinho walikua ni waburundi?Umesahau kwamba Simba ndiyo timu ya kwanza kuleta wabrazil...Fraga na wenzie
Labda anadhani wanatokea nchi ya RAGE.Wewe kweli ni Mbumbumbu,Jaja na Coutinho walikua ni waburundi?
Umesahau kwamba Simba ndiyo timu ya kwanza kuleta wabrazil...Fraga na wenzie