Augustine Genius
JF-Expert Member
- Apr 14, 2016
- 1,216
- 1,486
Ngada inapoteza kumbukumbuWewe upo Tanzania hii au sajili imekuchanganya Simba ndio timu ya kwanza kuleta wabrazili labda wa kutoka mwananyamala
Unamfahamu Jaja wewe, unamfahamu Coutinho wewe
Hebu amka hapo ulipo
Acha kudandia reli kwa mbele..hoja hapa ilikuwa Singida na Simba..kabla hujachangia angalia nilikuwa namjibu nani.Wewe kweli ni Mbumbumbu,Jaja na Coutinho walikua ni waburundi?
Angalia niliemquote kwanza siyo kukimbilia tu ..Wewe upo Tanzania hii au sajili imekuchanganya Simba ndio timu ya kwanza kuleta wabrazili labda wa kutoka mwananyamala
Unamfahamu Jaja wewe, unamfahamu Coutinho wewe
Hebu amka hapo ulipo
Ulivyoandika kuwa Simba ndio timu ya kwanza kuleta wabrazil ulikua umeshabwia unga?Acha kudandia reli kwa mbele..hoja hapa ilikuwa Singida na Simba..kabla hujachangia angalia nilikuwa namjibu nani.
Hana akili huyo achana nae.Ulivyoandika kuwa Simba ndio timu ya kwanza kuleta wabrazil ulikua umeshabwia unga?
Ni tofauti na sawakubwa yeye kila anapoenda ni mkopo au mkataba wa miezi 6 anasepeshwa, miaka 8 timu 7 ni hatariAucho wakati anasajiliwa kuja yanga alikua hajacheza zaidi ya miezi 6,Msuva na mgogoro wake dhidi ya WAC nae mda mrefu alikua hajacheza na tunaona huko moto kauwasha na anafunga,tujue wachezaji mpira ni kazi yao lazima wajiweke fiti
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Kutocheza mwaka mzima?Aucho wakati anasajiliwa kuja yanga alikua hajacheza zaidi ya miezi 6,Msuva na mgogoro wake dhidi ya WAC nae mda mrefu alikua hajacheza na tunaona huko moto kauwasha na anafunga,tujue wachezaji mpira ni kazi yao lazima wajiweke fiti
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
We unachekesha Yanga ndo timu ya kwanza kuleta wabrazilUmesahau kwamba Simba ndiyo timu ya kwanza kuleta wabrazil...Fraga na wenzie
Toka 2019- 2022 kacheza mechi 19 tu bwana sawadogo😂😂Ni tofauti na sawakubwa yeye kila anapoenda ni mkopo au mkataba wa miezi 6 anasepeshwa, miaka 8 timu 7 ni hatari
Peaa inongea simbaNdo msajili mchezaji ambaye hajacheza mwaka mzima?
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Tp mqzembe walikuwa na option wakimpata atakuwa backup striker ambae atakuwa available kwenye mashindano ya CAFCLCurrent form yake kwa sasa ikoje? Inaonekana wewe una akili sana kuwazidi ata scout wa Tp mazembe waliompandia ndege kumfata zambia
Nitajie mchezaji aliekuja simba kwa mkopo msimu huuKwaiyo mmekuwa watu wa kubahatisha mkijua mtampata thadeo lwanga tena katika hao mnaookota kwa mkopo, kaangalie cv yake kwanza uyo sawadogo alafu urudi hapa
Ufupi tu simba haina uwezo wa kifedha wa kumsajili huyo mchezaji. Uwezo wao ni kusajili wachezaji wa bei nafuu, free agent kama Saido Ntibazonkiza.Hivi, issue ya Manzoki na Simba imefikia wapi? Jamaa ni kisu sana yule kwenye ushambuliaji. Dah Simba wametukosesha usingizi tu Leo.
Futa haraka haya maneno, ili watu wasije wakamuita Rage kuja kutoa tasthmini yake hapa kuhusu nyinyi mashabiki wa simba.Umesahau kwamba Simba ndiyo timu ya kwanza kuleta wabrazil...Fraga na wenzie
Hatari sanaToka 2019- 2022 kacheza mechi 19 tu bwana sawadogo[emoji23][emoji23]
Pesa ndo msajili mchezaji aliyecheza mechi 19 kwa misimu 4Peaa inongea simba
Kwani nyie kambole mlipomsajili alikuwa amecheza muda gani ?
Ww hamnazo kweli una uhakika simba ni ya kwanza kuleta wa [emoji1054]?yanga walishawaleta wa Brazil kitambo kabla ya hao kina fragaFuta haraka haya maneno, ili watu wasije wakamuita Rage kuja kutoa tasthmini yake hapa.