Sawanogo hajacheza mechi yoyote tangu Feb. 2022

Sawanogo hajacheza mechi yoyote tangu Feb. 2022

Wewe upo Tanzania hii au sajili imekuchanganya Simba ndio timu ya kwanza kuleta wabrazili labda wa kutoka mwananyamala

Unamfahamu Jaja wewe, unamfahamu Coutinho wewe

Hebu amka hapo ulipo
Ngada inapoteza kumbukumbu
 
Wewe upo Tanzania hii au sajili imekuchanganya Simba ndio timu ya kwanza kuleta wabrazili labda wa kutoka mwananyamala

Unamfahamu Jaja wewe, unamfahamu Coutinho wewe

Hebu amka hapo ulipo
Angalia niliemquote kwanza siyo kukimbilia tu ..
 
Aucho wakati anasajiliwa kuja yanga alikua hajacheza zaidi ya miezi 6,Msuva na mgogoro wake dhidi ya WAC nae mda mrefu alikua hajacheza na tunaona huko moto kauwasha na anafunga,tujue wachezaji mpira ni kazi yao lazima wajiweke fiti

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Ni tofauti na sawakubwa yeye kila anapoenda ni mkopo au mkataba wa miezi 6 anasepeshwa, miaka 8 timu 7 ni hatari
 
Wamebakia kuokoteleza wachezaji wanaokaa jukwaani!!kweli ukata unawapeleka kubaya makolo
 
Current form yake kwa sasa ikoje? Inaonekana wewe una akili sana kuwazidi ata scout wa Tp mazembe waliompandia ndege kumfata zambia
Tp mqzembe walikuwa na option wakimpata atakuwa backup striker ambae atakuwa available kwenye mashindano ya CAFCL
 
Kwaiyo mmekuwa watu wa kubahatisha mkijua mtampata thadeo lwanga tena katika hao mnaookota kwa mkopo, kaangalie cv yake kwanza uyo sawadogo alafu urudi hapa
Nitajie mchezaji aliekuja simba kwa mkopo msimu huu
Nikuonyeshe goli moja la kambole ligi kuu bara msimu huu
 
Hivi, issue ya Manzoki na Simba imefikia wapi? Jamaa ni kisu sana yule kwenye ushambuliaji. Dah Simba wametukosesha usingizi tu Leo.
Ufupi tu simba haina uwezo wa kifedha wa kumsajili huyo mchezaji. Uwezo wao ni kusajili wachezaji wa bei nafuu, free agent kama Saido Ntibazonkiza.
 
Futa haraka haya maneno, ili watu wasije wakamuita Rage kuja kutoa tasthmini yake hapa.
Ww hamnazo kweli una uhakika simba ni ya kwanza kuleta wa [emoji1054]?yanga walishawaleta wa Brazil kitambo kabla ya hao kina fraga
 
Back
Top Bottom