Sawanogo hajacheza mechi yoyote tangu Feb. 2022

Sawanogo hajacheza mechi yoyote tangu Feb. 2022

Ww hamnazo kweli una uhakika simba ni ya kwanza kuleta wa [emoji1054]?yanga walishawaleta wa Brazil kitambo kabla ya hao kina fraga
Umekosea kuni quote bila shaka.
 
Nimefuatlia reports za mechi za misimu miwili ya timu ya Diffaa al Jadid ya Morocco na kubaini kuwa jamaa hajacheza tangu Feb 27 2022. Simba wamemuonaje huyu kama anawafaa?

Mwenye rekodi tofauti na hii anirekebishe.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Umejihakiikishia afu unaulizia habari tofauti

Sasa wewe na Haji Manara tofauti yenu ni nini?

Unagongewa we jamaa.....

Shauri zako
 
Nimefuatlia reports za mechi za misimu miwili ya timu ya Diffaa al Jadid ya Morocco na kubaini kuwa jamaa hajacheza tangu Feb 27 2022. Simba wamemuonaje huyu kama anawafaa?

Mwenye rekodi tofauti na hii anirekebishe.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Ndio biashara za mtandaoni hizo, unaagiza Manzoki unaletewa Sawadogo, Dalali tayari ameshapata school fees ya Watoto January hii.
 
Wanasubili kina makusu free agent na yule mwingine anayetolewa kwa mkopo na Tp mazembe bwana baleke ndio usajili wao tegemeo wa kutetemesha nchi
Bigirimana
Kambole
Kisinda hawa wote walikuwa free agent kama unabisha niletee goli la kamboli msimu huu wa NBCPL
 
Wanasubili kina makusu free agent na yule mwingine anayetolewa kwa mkopo na Tp mazembe bwana baleke ndio usajili wao tegemeo wa kutetemesha nchi
mpaka sasa labda baleke wanaeza kumpa ,lakini sio makusu,na hata huyo baleke inabidi waongeze hela kdg watampata,la sivyo...
 
Back
Top Bottom