Say No to Racims, nasimama na Dejan Georgijevic

yanayoendelea Ulaya dhidi ya blacks kwenye soka huoni?
 
Uzungu sio ubaguzi acheni ujinga. We always tunatumia uzungu kama sifa njema na sio kejeli, BOSI WANGU MZUNGU SANA, DAH JAMAA KAMA MZUNGU nk
Hapana, usi-generalize..wewe ukiitwa hadharani "wewe mtu mweusi" njoo mbele utasema umepewa sifa? hiyo siyo sifa ni ubaguzi, hata mtoto uliyemzaa huwezi kumuita "we mtoto" sababu hilo si jina lake, watanzania tuwe wastaarabu.
 
Kinachoendelea dhidi ya Mshambuliaji wa simba, sio sawa wala huu sio ushabiki ni ubaguzi na upumbavu wa hali ya juu!

Sijui uko alipo anajiskiaje huyu mwamba!

kibinadamu sio fair kabisa hii
hajui mpira sasa
 
Uzungu sio ubaguzi acheni ujinga. We always tunatumia uzungu kama sifa njema na sio kejeli, BOSI WANGU MZUNGU SANA, DAH JAMAA KAMA MZUNGU nk
Kuna mwenzako kaanzisha uzi kabisa anamuita mzungu koko.
 
Kinachoendelea dhidi ya Mshambuliaji wa Simba, sio sawa wala huu sio ushabiki ni ubaguzi na upumbavu wa hali ya juu!

Sijui uko alipo anajiskiaje huyu mwamba!

Kibinadamu sio fair kabisa hii
Mie pia nipo nae
 
Kinachoendelea dhidi ya Mshambuliaji wa Simba, sio sawa wala huu sio ushabiki ni ubaguzi na upumbavu wa hali ya juu!

Sijui uko alipo anajiskiaje huyu mwamba!

Kibinadamu sio fair kabisa hii
Neamzisha Uzi Jana kuhusu hili nautafuta siuoni.
 
Kwahiyo kumdhihaki Dejan kutokana na performance yake mbovu ni ubaguzi? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Mnatatizo gani nyie wehu?

Kama kumuita mzungu ni ubaguzi anzeni kumuomba msamaha MANARA halafu muombeni msamaha mzungu wenu Kutokana na utambulisho mbovu alioufanya Ahmed Ally.
 
Hivi mtajisiaje mkiitwa tuleteeni mweusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…