Say No to Racims, nasimama na Dejan Georgijevic

Say No to Racims, nasimama na Dejan Georgijevic

Mbona manara humu makolo uwa mnamuita majina yasiyostahili kutokana maradhi yake ngozi
Watu wa yanga ndiyo watu wa kwanza, kuchapisha vikaragosi vinavyomfananisha manara na nguruwe.

Hata hivyo manara, alishawahi kumsema Ahmed Aliy, kwa maumbile yake, eti anabana Sauti.
 
Back
Top Bottom