Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
Okay, basi kumbe naweza kuwa si muongo sana.
Kutokusema yote kuhusu wewe haina maana wewe siyo honest. Wewe hapa unachozungumzia ni kuwa muwazi (open) au kutokuwa tayari kusema yote ama mengi kuhusu wewe (reticent).
Honesty inahusisha kutokusema ukweli/ kusema uongo. Mfano nikikuuliza wewe umeshalala na wanaume wangapi? Ukiniambia umeshalala na wanaume 7 wakati unajua fika umelala na wanaume 150 hapo utakuwa unadanganya.
Lakini ukisema 'kwa sasa nisingependa kujibu hilo swali' hapo utakuwa hujasema uongo bali hujataka tu kufunguka na kusema ukweli.