Kutokusema yote kuhusu wewe haina maana wewe siyo honest. Wewe hapa unachozungumzia ni kuwa muwazi (open) au kutokuwa tayari kusema yote ama mengi kuhusu wewe (reticent).
Honesty inahusisha kutokusema ukweli/ kusema uongo. Mfano nikikuuliza wewe umeshalala na wanaume wangapi? Ukiniambia umeshalala na wanaume 7 wakati unajua fika umelala na wanaume 150 hapo utakuwa unadanganya.
Lakini ukisema 'kwa sasa nisingependa kujibu hilo swali' hapo utakuwa hujasema uongo bali hujataka tu kufunguka na kusema ukweli.
Dont make such a sweeping generalizations. What kind of research do you need to come to such a conclusion???Why is it so hard for folks to live up to it?
Is it because we as human beings are inherently dishonest?
Yaani ni kama umeniwahi, nilitaka kuanzisha thread hasa yenye kuwalenga wanaume kwa kuwauliza, "ni lini tuamini wanachokisema?"
Inachosha na inaumiza sana mtu anapotumia maneno makubwa kama 'you are the love of my life' napata shida sana niamini au niishi kimachale machale. I real wish tusingesema tusivyoviamini. I rarely do!
Dont make such a sweeping generalizations. What kind of research do you need to come to such a conclusion???
Why is it so hard for folks to live up to it?
Is it because we as human beings are inherently dishonest?
i wonder if i am the only one
who understand exactly what u mean...
kuna watu wanaitwa pathological liers
the only time they are telling the truth is when they confess that they lied...
labda we are all natural pathological liers ..are we?
I'd say Human beings are intrinsically honest, that's why we feel good when we act honestly. We really have to think about how to lie, and put an arrangement around it. this is why it is harder to lie than to say the truth.
The reason why people lie anyway, and say things they don't mean, is mostly pressure from outside and weak personality. Most of them (IMO) want to appear like somebody they are not, want to promise things they cannot deliver because they think that the promise they make can open up doors that would otherwise remain closed.
I think that the easiest way to be honest is to contently be yourself and resist pressure from the outside. when you can't do something because it is against your principles or simply because you are not capable of doing it (Udhaifu) then say it. I also think that the easiest way to get people around you to be honest with you is to lead by example and keep your expectations as low as possible, encourage honest behaviors and promote antes honesty than post apologies
In any case I always remember that nobody will blame me for trying to surprise him and fail as you attempt it, but people will blame me for promising something and fail to deliver.
Then i'd be borring and feel happy about it because that is better than being a liar and feel tortured about it. Kila saa unakaa ukijiuliza why you said that and you will have to live with the guilt or face the embarrassment of confessing that you lied. Bora nionekane boring but honest.you can say that again..
but what about 'too much truth is boring'????
ever heard of that?
Roulette, have you ever lied?
Then i'd be borring and feel happy about it because that is better than being a liar and feel tortured about it. Kila saa unakaa ukijiuliza why you said that and you will have to live with the guilt or face the embarrassment of confessing that you lied. Bora nionekane boring but honest.
Yes, like most of us I have. But I try to avoid it as much as I can.
sio kwamba kuna types of lying ?
kuna uwongo na udanganyifu.......
mtu akisema ikifika december nikiwa na pesa nitakununulia gari
ikifika dec akasema nimekosa pesa....is that lies or unkept promise?
If Adam and Eve could not maintain honestness right in front of God,who are we mere mortals to adhere. The grim reality is no breathing soul is honest
If he meant what he said when he said it then it is not a lie, it is a unfulfilled promise (another ugly thing people do because they can't resist external pressure when they over-promise). But if he knew he would not get the money because he does not have enough revenues for example, and did it to impress or to look generous or for whatever reason then he lied.sio kwamba kuna types of lying ?
kuna uwongo na udanganyifu.......
mtu akisema ikifika december nikiwa na pesa nitakununulia gari
ikifika dec akasema nimekosa pesa....is that lies or unkept promise?
Nyani Ngabu kuna vitu vingine ni busara kudanganya .....ukisema ukweli kila kitu kwenye haya maisha jamii itakuona mwendawazimu !Kutokusema yote kuhusu wewe haina maana wewe siyo honest. Wewe hapa unachozungumzia ni kuwa muwazi (open) au kutokuwa tayari kusema yote ama mengi kuhusu wewe (reticent).
Honesty inahusisha kutokusema ukweli/ kusema uongo. Mfano nikikuuliza wewe umeshalala na wanaume wangapi? Ukiniambia umeshalala na wanaume 7 wakati unajua fika umelala na wanaume 150 hapo utakuwa unadanganya.
Lakini ukisema 'kwa sasa nisingependa kujibu hilo swali' hapo utakuwa hujasema uongo bali hujataka tu kufunguka na kusema ukweli.
Nyani Ngabu kuna vitu vingine ni busara kudanganya .....ukisema ukweli kila kitu kwenye haya maisha jamii itakuona mwendawazimu !
i wonder if i am the only one
who understand exactly what u mean...
kuna watu wanaitwa pathological liers
the only time they are telling the truth is when they confess that they lied...
labda we are all natural pathological liers ..are we?
Nyani Ngabu kuna vitu vingine ni busara kudanganya .....ukisema ukweli kila kitu kwenye haya maisha jamii itakuona mwendawazimu !
busara ni kusema uwongo?
tutaanza mjadala upya hapa wa nini maana ya busara