Say what you mean, mean what you say.


Amina! Asante kwa pongezi, najitaidi hivo hivo. Kua mzazi ni mengi kuliko nilivo fikiria kabla sijazaa, kuliko nilivo fikiria nikiwaona wazazi wangu walivo tulea. Sisi tulikua watoto 7! yani nikikumbuka nawavulia kofia na kupiga salute. walijitah8idi kila mmoja wetu ajiskie yuko special, na anajibiwa mahitaji yake on an individual level.

Kabla ya kuongea haya ya sex, nilisoma vitabu, niliongea na wazazi wengine ila zaidi nilipata ushahuri toka kwa wazazi wangu na bibi zangu wote wawili. Kuna wakati nashindwa kabisa cha kufanya na najiona nimeshindwa kazi yangu ya ulezi ( Kongosho amesha faanua ni ulezi upi tunazungumzia) ila baadae unakumbuka kua usipo fanya wewe nani atafanya? Asie funzwa na wazazi anafunzwa na dunia, and as you might be aware the world can be pretty cruel sometimes. so weka aibu mbali, ongea na mtoto for her/his benefit. Ulezi...

BTT: Imagine mimi na baba yao tuko very tolerant na mambo ya homosexuality, na hatuoni ubaya wowote. Sasa pata picha pale watakapo uliza how an homosexual couple has babies? Au just why some people are homosexuals? siwezi kuwadanganya because you don't know why they ask this question, you don't know what is their sexual orientation na hutaki kumwambia kitu kitakacho mfanya ajiskie kua inferior/deviant. so you need to prepare these questions and make them match the moral and religious values you wish to transmit to your kids.
 

Aisee nzuri sana mpendwa ! Kweli unajitahidi sana kama mzazi ! Nimeishiwa maneno ya kukuambia ila kweli umenifurahisha sana !
 
Why is it so hard for folks to live up to it?

Is it because we as human beings are inherently dishonest?

sometimes tunajiendekeza tu kwa kweli, kuna watu maisha yao hayaendi bila uongo na wameshazoea to the extent akisema kweli anaona kama hajajitendea haki..ninaamini hakuna mtu honest kwa 100% lakini too much uongo is harmfull..wakati mwingine tunakua waongo kwa mambo yasikua hata ya msingi!
 

I know, lakini wanaume wamekuwa wawazi mno kutuambia tusiamini wanachokisema. Tena mtu kama Tuko anaeleza wazi wazi kabisa kuwa tusiwa take serious wanaume. Hivyo swali langu ni lini tuwa take serious na lini tusiwatake serious; l wish wangetupa hint fulani hivi.
 
Last edited by a moderator:
kama unaweza soma signature yangu itakusaidia.

Usiamini la mtu, amini 'your intuitions' huwa hazidanganyi, tatizo hatuzisikilizi.

 
Last edited by a moderator:

Hapo naona nimepata jibu la swali langu ambalo limekuwa likinitesa, (wanaosema uongo hawajiamini na ni waoga?)
 
wanaogopa vivuli vyao.

Kila siku husema, huwezi kuwa 'kuku' ukaona sifa kuwa na characters za farasi.

Naweza sema wanakuwa 'uncomfortable in their own skin'

Hapo naona nimepata jibu la swali langu ambalo limekuwa likinitesa, (wanaosema uongo hawajiamini na ni waoga?)
 
kama unaweza soma signature yangu itakusaidia.

Usiamini la mtu, amini 'your intuitions' huwa hazidanganyi, tatizo hatuzisikilizi.

Maisha yanakuwa magumu sana, sasa usipomuamini mpenzi wako Kongosho hayo mahusiano yanakuwaje? na hizo intuitions huwa hazichakachuliwi na shetani anayetaka kuvuruga mahusiano? Na wapi nafasi ya kuvumiliana katika mahusiano ambayo yanaongozwa na intuitions?
 
Hapo naona nimepata jibu la swali langu ambalo limekuwa likinitesa, (wanaosema uongo hawajiamini na ni waoga?)

Baada ya kufikiria sana kuhusu sababu zinazo nipeleka mimi kudanganya niligundua kua mara nyingi nadanganya pale ambapo sipo comfortable kua mimi mwenyewe. pale ambapo nataka nionekane kua mtu ambae sio mimi. Au pale ambapo naogopa reaction ya muhusika nitakapo mwambia ukweli.
Rejea mfano wa sweetlady kuhusu kuongea na watoto kuhusu sex. Unakuta mzazi hayuko comfortable kuzungumzia suali h8ilo sababu ni taboo. Basi mzazi anasema uongo kwa kukimbia discomfort inayo tokana na wajibu wake kama mzazi. ikiwa atavaa kofia ya uzazi na kuact kama mzazi, hiyo discomfort itapotea na ataongea akiwa na uhakika kua she/he is playing a parent role, with no pretense of being an angel complying with chastity.
 
Last edited by a moderator:

Trust but verify.
 

Mimi ningesema, samahani naomba nisijibu hilo swali kama hautajali!
 
Trust but verify.

Hapo ndipo kuna mziki mwingine, how do you do that?
Kwa kufuatilia say simu zake, au kufuata ule muongozo wa kugundua kama mwenzio anacheat! Ni pasua kichwa, kwa mtazamo wangu. Bora kulive for the moment, penda jinsi unavyopenda ukitendwa lia au umia, nurse your heart break, ukiheal anza mwanzo tena ukijatendwa tena anza upya.
 

All I'm saying is don't trust blindly. Blind trust is stupid.

So trust, and whenever you can, verify.
 
wengi hatu-verify sababu tunaogopa ku-face ukweli.

Hata kabla ya kuingia kwenye mahusiano kuna vitu huwa wakati mwingine tunaviona vinavyoachwa maswali lakini tunavifumbia macho.

Mfano, mnakaa mahuaiano ya mwaka mzima na mtu, hujui hata mtaa anaoishi achia mbali nyumba. Kwa nini usibaki na swali hapa?

All I'm saying is don't trust blindly. Blind trust is stupid.

So trust, and whenever you can, verify.
 
Kaunga, kila kitu ni kigumu na kirahisi kutegemea na unachokilinda.

Je hisia zako zikiumizwa sababu hukutaka tafuta ukweli unaona ni sawa??

Bora ujue ukweli ila uamue kuufumbia macho kuliko kutoujua ukweli.

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…