Ni muda mrefu tumekuwa tuna zungumzia sayansi hapa Tanzania lakini nimegundua kuwa hatuizungumzii sayansi katika mazingira ya kuwa pata wanasayansi na wavumbuzi wa kisanyansi bali tunazungumzia masomo ya sayansi.
ninacho kishauri ili tuwe na wanasanyansi tuna hitaji kuwa na historia ya sayansi ni lazima vijana waambukizwe historia ya sanyansi ili waweze kwanza kuwa na ari ya kuipenda sayansi husika,kujua hesabu tu na masomo mengine ya sayansi siyo kuwa mwana sanyansi.