Sayansi katika siasa hutumiwa na vyama vya siasa na wanasiasa kwa namna nyingi

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
sayansi katika siasa hutumiwa na vyama vya siasa na wanasiasa kwa namna nyingi.

ambazo, ni pamoja na kueneza itikadi, sera, mipango na mikakati yake kwa wananchi, kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na nyimbo nzuri zenye ujumbe, sauti, midundo na maneno ya vukutia kuskia, kueleweka na kuimbika kirahisi kwa wanachama na wanainchi kwa ujumla.

kwenye hili, Chama Cha Mapunduzi - CCM wamefanya vizuri sana, na bado wanaendelea kutumia nyenzo hii muhimu sana ya kisayansi katika siasa, kueneza itikadi, sera, dhamira, uelekeo, mipango, nia na matarajio yake kwa wanainchi na waTanzania kwa ujumla. Lakini hutumia kufikisha jumbe mbalimbali ambazo, kama chama wanaona zinafaa kufahamika, kueleweka vema na kuishi katika fikra, mioyoyoni na kwenye vyinywa vya wanachama wake na umma kwa ujumla.

Miongoni mwa nyimbo maridadi, mahiri, muhimu na kali sana za ccm, ni pamoja na zile za TOT PLUS kama vile, CCM namba One, Kazi zinazofanywa na chama big up ccm, Wajumbe Tushikamae Tushike Dola, Sasa kumekucha Jogoo Limewika Dodoma, Tumeipenda wenyewe CCM mbele kwa mbele kwa uchache tu.

Kila mahali CCM inapokusudia kufanya jambo lake, miongoni mwa nyimbo hizo nilizozitaja au nyingunezo, hutumika kuhamasisha, kusisimua, kuvutia na kukusanya wanachama na wananchi katika eneo husika.

Kuna vyama vya siasa kipindi fulani walianza kuiga mtindo huu wa kusayansi kujitambulisha, kujieneza na kuimpact identity, sera na mipango, yao ndani ya fikra na mioyo ya wanachama wao na waTanzania kwa ujumla. Sifahamu walikwamia wapi hali ya kua walikua wanakuja vizuri kwenye eneo hili, licha ya kua na nyimbo chache ambazo pia, hata hivyo hazikua na midundo na maneno ya kuvitia sana kuyasikia na kuyaimba. Kikubwa tu ni kwamba walianza kutuamia fursa hii ya kujitambilisha na kueneza itikadi zao kwa nyimbo vizuri.

Njia nyingine za kisayansi ambazo vyama vya siasa hutumia kujieneza ambazo ni pamoja na vyombo vya habari, mitandao ya kijamii, mashairi, kwaya, michezo, makongamano, semina, mikutano ya ndani na mikutano ya hadhara, maandamamo, migomo na siku hizi kuna hii mpya ya mihemko, ambayo pia inawatambilisha vizuri.

kula chuma hicho kwa kifupi mambo ya hayati capt. John Komba :KasugaYeah:
 
Sisi Chadema sayansi yetu ni kujiteka na jogging ndio tunajitangza kwa haraka sana!
 
Acha uongo hapana sayansi yeyote mkuu. Wengi niwakereketwa
kwa kawaaida mkereketwa hatambuliki na wala hana utambulisho 🐒

ni kama vile shabiki wa simba au yanga, asie na kadi ya uanachama wa hizo club, halafu yeye ndio akawa msemaji sana vijiweni au ndio mshabiki kindakindaki wa hizo timu hali ya kua hana identity wala ownership ya chochote ispokua maneno tu...

huyo ndio mkereketwa 🐒

ukiwa na kadi wewe sio mkereketwa Tena 🐒
 
sayansi katika siasa hutumiwa na vyama vya siasa na wanasiasa kwa namna nyingi.

ambazo, ni pamoja na kueneza itikadi, sera, mipango na mikakati yake kwa wananchi, kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na nyimbo nzuri zenye ujumbe, sauti, midundo na maneno ya vukutia kuskia, kueleweka na kuimbika kirahisi kwa wanachama na wanainchi kwa ujumla.

kwenye hili, Chama Cha Mapunduzi - CCM wamefanya vizuri sana, na bado wanaendelea kutumia nyenzo hii muhimu sana ya kisayansi katika siasa, kueneza itikadi, sera, dhamira, uelekeo, mipango, nia na matarajio yake kwa wanainchi na waTanzania kwa ujumla. Lakini hutumia kufikisha jumbe mbalimbali ambazo, kama chama wanaona zinafaa kufahamika, kueleweka vema na kuishi katika fikra, mioyoyoni na kwenye vyinywa vya wanachama wake na umma kwa ujumla.

Miongoni mwa nyimbo maridadi, mahiri, muhimu na kali sana za ccm, ni pamoja na zile za TOT PLUS kama vile, CCM namba One, Kazi zinazofanywa na chama big up ccm, Wajumbe Tushikamae Tushike Dola, Sasa kumekucha Jogoo Limewika Dodoma, Tumeipenda wenyewe CCM mbele kwa mbele kwa uchache tu.

Kila mahali CCM inapokusudia kufanya jambo lake, miongoni mwa nyimbo hizo nilizozitaja au nyingunezo, hutumika kuhamasisha, kusisimua, kuvutia na kukusanya wanachama na wananchi katika eneo husika.

Kuna vyama vya siasa kipindi fulani walianza kuiga mtindo huu wa kusayansi kujitambulisha, kujieneza na kuimpact identity, sera na mipango, yao ndani ya fikra na mioyo ya wanachama wao na waTanzania kwa ujumla. Sifahamu walikwamia wapi hali ya kua walikua wanakuja vizuri kwenye eneo hili, licha ya kua na nyimbo chache ambazo pia, hata hivyo hazikua na midundo na maneno ya kuvitia sana kuyasikia na kuyaimba. Kikubwa tu ni kwamba walianza kutuamia fursa hii ya kujitambilisha na kueneza itikadi zao kwa nyimbo vizuri.

Njia nyingine za kisayansi ambazo vyama vya siasa hutumia kujieneza ambazo ni pamoja na vyombo vya habari, mitandao ya kijamii, mashairi, kwaya, michezo, makongamano, semina, mikutano ya ndani na mikutano ya hadhara, maandamamo, migomo na siku hizi kuna hii mpya ya mihemko, ambayo pia inawatambilisha vizuri.

kula chuma hicho kwa kifupi mambo ya hayati capt. John Komba :KasugaYeah:
Wewe jamaa ni muongo muongo ule uzi kuwa ulitumia baja ukaupata ubunge umeutelekeza huendelei tena
 
Hapana ndungu mwananchi,
Andiko lile niliwapa wataalamu wa uandishi walau wafupishe kidogo, coz sehemu ya pili ina 10 pages, ni nyingi mno ukilinganisha na sehemu ya tatu....

wananiambia, oohh kiongozi kila paragraph tunaona ina maana na ni lesson, tumeshindwa tutoe nini tuache nini 🐒

but worry out,
nimefupisha mwenyewe kidogo, walau sasa ina 7pages nataka walau iwe na 5pages. Soon nitaiachia.....

Okay mbali na hiyo,
Japo heading ya bandiko hili imerekebishwa kidogo, but politics is a science 🐒

kuchagua rangi ya chama ili ivutie ni sayansi hutumika, kuselect party dress code ni sayansi, kuset slogans za chama ni sayansi, kubuni Nembo ya chama ni sayansi, kubuni sera, mipango na uelekeo ni sayansi.....

in short ukikosea hauwezi kupata matokeo chanya....

Ni kama experiment maabara ukikosea kuchanganya chemicals utakosa matokeo ulokusudia 🐒
 
Back
Top Bottom