Sayansi na maajabu ya samaki Pweza

Kwenye inshu za uzazi wanateseka sana
Pia Kuna samaki Moja anaitwa salmon Huwa anaishi baharini ila anaenda kuzalia maji baridi ,hawa samaki hupatikana bahari ya pacific na baada ya kuzaliana wanakufa ntakuja na stori yake kamili
 
Kwenye inshu za uzazi wanateseka sana
Pia Kuna samaki Moja anaitwa salmon Huwa anaishi baharini ila anaenda kuzalia maji baridi ,hawa samaki hupatikana bahari ya pacific na baada ya kuzaliana wanakufa ntakuja na stori yake
Bado hujatueleza kazi ya moyo mmoja uliobakia, umeelezea miwili tu. Ahsante kwa elimu though!
Kazi ya moyo Moja ni kusukuma damu kwenda sehemu mbalimbali za mwili ila ile yote miwili husukuma damu kupitia kwenye matamvua kwa ajili ya gaseous exchange ( mfumo wa upumuaji)
 
kwenye iyo mioyo mitatu ya pweza akuna hata mmoja wenye kazi ya kupenda?
Samaki pia Wana namna ya kufanya mating( uchumba) Wana style tofauti kutokana na jamii ya samaki ila kwa pweza wao hawana wivu wa kimapenzi ndio maana nimeeleza kwamba jike Moja anaweza kutoka na madume zaidi ya 10 ila samaki wengine jike anachagua dume la kuzaa naye pia Kuna madume hupigana kwa ajili ya kupata nafasi ya kuzaa na jike
 
Kwa hiyo pweza jike anavumilia kupigwa fiesta na madume 10 na hachoki? maajabu
 
Pweza sio Samaki mwandishi usituone maboya Pweza sio Samaki
 
Kwahiyo mwanaume hata ukiumbwa pweza kuteseka kuko pale pale!
 
Ustawi wao unakuwaje kama hufa baada ya kuzaliana
Baada ya watoto kuanguliwa Huwa watoto wanaanza kula planktons ( wadudu wadogo wa baharini) kwakutumia tentacles ( vinundu) vilivyopo kwenye mikono Yao 8 kukua pia wanajilinda kwa kubadili rangi na kumwaga wino ili kuwapoteza maadui ili wasiliwe
Ustawi wao unakuwaje kama hufa baada ya kuzaliana
 
Kumbe pweza nae hana nguvu,mgegedo mmoja wanakula wanne?
 
Baada ya watoto kuanguliwa Huwa watoto wanaanza kula planktons ( wadudu wadogo wa baharini) kwakutumia tentacles ( vinundu) vilivyopo kwenye mikono Yao 8 kukua pia wanajilinda kwa kubadili rangi na kumwaga wino ili kuwapoteza maadui ili wasiliwe
vipi kuhusu life span
 
🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…