Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran karibu kiongozisafi kwa kuelimisha....big up💪💪💪
Pia Kuna samaki Moja anaitwa salmon Huwa anaishi baharini ila anaenda kuzalia maji baridi ,hawa samaki hupatikana bahari ya pacific na baada ya kuzaliana wanakufa ntakuja na stori yake kamiliKwenye inshu za uzazi wanateseka sana
Pia Kuna samaki Moja anaitwa salmon Huwa anaishi baharini ila anaenda kuzalia maji baridi ,hawa samaki hupatikana bahari ya pacific na baada ya kuzaliana wanakufa ntakuja na stori yakeKwenye inshu za uzazi wanateseka sana
Kazi ya moyo Moja ni kusukuma damu kwenda sehemu mbalimbali za mwili ila ile yote miwili husukuma damu kupitia kwenye matamvua kwa ajili ya gaseous exchange ( mfumo wa upumuaji)Bado hujatueleza kazi ya moyo mmoja uliobakia, umeelezea miwili tu. Ahsante kwa elimu though!
Ni changamoto kwakweliiiKwenye inshu za uzazi wanateseka sana
Tukipata watu watano wenye akili kama za kwako Tanzania itaendelea kuwa maskini.Muumba hajawatendea haki! Baada ya kufanya mapenzi ni kifo, baada ya kuzaa na kutunza watoto kwa mda mama hufariki. Wana maisha magumu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Samaki pia Wana namna ya kufanya mating( uchumba) Wana style tofauti kutokana na jamii ya samaki ila kwa pweza wao hawana wivu wa kimapenzi ndio maana nimeeleza kwamba jike Moja anaweza kutoka na madume zaidi ya 10 ila samaki wengine jike anachagua dume la kuzaa naye pia Kuna madume hupigana kwa ajili ya kupata nafasi ya kuzaa na jikekwenye iyo mioyo mitatu ya pweza akuna hata mmoja wenye kazi ya kupenda?
Kila mnyama ameumbiwa mode of reproduction yake kwahiyo usisinguzie MuumbaMuumba hajawatendea haki! Baada ya kufanya mapenzi ni kifo, baada ya kuzaa na kutunza watoto kwa mda mama hufariki. Wana maisha magumu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo pweza jike anavumilia kupigwa fiesta na madume 10 na hachoki? maajabuSamaki pweza ni samaki anayeishi baharini
- Pweza ana mioyo 3 (3 heart) Moyo moja husukuma damu kwenda sehemu mbalimbali za mwili.Mioyo 2 husukuma damu kupitia matamvua yake(gills)
- Pweza ana damu rangi ya bluu kwasababu ana “copper-based protein”
- Pweza ni miongoni mwa-samaki mwenye akili Zaidi duniani.
- Pweza ana mikono 8 na macho 2 makubwa.
- Jamii za samaki pweza ni Zaidi ya jamii 289 kulingana na chapisho la(World Animal Foundation)
- Samaki pweza ni mstaarabu na msafi (smart) kama paka wa nyumbani.
- Pweza wa kawaida huwa anakuwa (inchi 12-36) urefu,(3-10)kg uzito.
- Pweza mkubwa Zaidi duniani anapatikana katika bahari ya pacific(giant pacific octopus) jamii ya (Enteroctopus dofleini) anakuwa mkubwa hadi (5m) urefu na (50kg) uzito. Chanzo🙁world animal foundation).
- Pweza anakula nyama tu (carnivores) hupendelea kula jamii ya dagaa kamba(uduvi) na samaki, pweza anawinda kwa kutumia mikono yake 8.
- HUJULINDA VIPI NA MAADUI(PREDATOR)?
- Pweza anauwezo wa kubadili rangi kama kinyonga kulingana na mazingira aliyopo,unaweza kubadilika katika rangi tafauti kama kuwa rangi ya bluu,rangi ya pink,rangi ya ugoro(brown) au kijani. Ili kujificha na kufanana na mazingira yaliyo mzunguka kutokana na maadui.
- Pweza pia humwaga wino na kukimbia kwa kasi sana na kumfanya adui asimuone kwa sababu ya maji kuchanganyikana na wino nakufanya hali kama ukungu(clouds).
- PWEZA WANAZALIANAJE?
- Uzalianaji wa pweza huwa ni wa kutaga mayai na kuyalinda mpaka kutotolewa.
- Pweza ni samaki asiyekuwa na wivu wa kimapenzi jike moja hupandwa na madume Zaidi ya 10 wakiwa wamemzunguka jike kwa kuweka duara na kumueka jike katikati namadume kuachiana zamu ya kufanya mapenzi na jike.
- Pweza dume huwa na mkono moja kati ya 8 mahususi kwa kupitisha mbegu na kumwagia kwa jike.
- Pweza dume baada ya kumaliza mapenzi na jike hukaa muda kidogo na kufa kwasababu huwa anamaliza akili ya kutafuta chakula( anakuwa zezeta) hatimaye kuishiwa nguvu na kufa.
- Pweza jike anauwezo wa kutaga mayai Zaidi ya (200,000 – 400,000) inategemeana na kubwa na jamii ya pweza.
Pweza jike hulalia na kulinda mayai bila kula chakula mpaka mayai ya totolewe au kuanguliwa pia huwalinda watoto wake kwa muda kidogo baada ya muda naye anakufa kwa kudhohofika kwa kutokla chakula kwa muda murefu.
Kipimo cha akili yake kilifanyikaje na kililinganishwaje na samaki wengine
Pweza sio Samaki mwandishi usituone maboya Pweza sio Samaki
Pweza sio Samaki mwandishi usituone maboya Pweza sio Samaki
Pweza ni samaki Kuna species nyingi sana za samakiPweza sio Samaki mwandishi usituone maboya Pweza sio Samaki
Ustawi wao unakuwaje kama hufa baada ya kuzalianahawa samaki hupatikana bahari ya pacific na baada ya kuzaliana wanakufa ntakuja na stori yake kamili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwenye iyo mioyo mitatu ya pweza akuna hata mmoja wenye kazi ya kupenda?
Baada ya watoto kuanguliwa Huwa watoto wanaanza kula planktons ( wadudu wadogo wa baharini) kwakutumia tentacles ( vinundu) vilivyopo kwenye mikono Yao 8 kukua pia wanajilinda kwa kubadili rangi na kumwaga wino ili kuwapoteza maadui ili wasiliweUstawi wao unakuwaje kama hufa baada ya kuzaliana
Ustawi wao unakuwaje kama hufa baada ya kuzaliana
vipi kuhusu life spanBaada ya watoto kuanguliwa Huwa watoto wanaanza kula planktons ( wadudu wadogo wa baharini) kwakutumia tentacles ( vinundu) vilivyopo kwenye mikono Yao 8 kukua pia wanajilinda kwa kubadili rangi na kumwaga wino ili kuwapoteza maadui ili wasiliwe
🙏Baada ya watoto kuanguliwa Huwa watoto wanaanza kula planktons ( wadudu wadogo wa baharini) kwakutumia tentacles ( vinundu) vilivyopo kwenye mikono Yao 8 kukua pia wanajilinda kwa kubadili rangi na kumwaga wino ili kuwapoteza maadui ili wasiliwe