SoC02 Sayansi na Teknolojia

SoC02 Sayansi na Teknolojia

Stories of Change - 2022 Competition

Anitta Edward

New Member
Joined
Aug 19, 2022
Posts
1
Reaction score
0
UTANGULIZI;
Tangu utoto nimesikia usemi “elimu ni ufunguo wa maisha”
Tunakuwa tukiwa na ndoto kubwa na kuamini elimu ndio ufunguo
wao.Lakini je funguo zimebadilika au mlango umekuwa mbovu?

Elimu ni njia ambayo jamii hutumia kupitisha maarifa,ujuzi,taarifa kutoka kizazi kimoja au kingine
Elimu ni nyanja kubwa inayotumika kuleta mabadiliko katika jamii,lakini je elimu yety inakidhi mahitaji ya jamii yetu?

Jamii yetu inahitaji maarifa na vitendo kwa pamoja ili tuweze kuvuka hatua moja kwenda nyingine lakini elimu yetu ipokwa mfumo wa nadharia zaidi kuliko vitendo.
 
Upvote 0
Back
Top Bottom