Mambo hayo yapo kaka! Uchawi upo na unatumika sana katika hiyo sayansi! Wazungu wanao uchawi kama huo! Vodoo
Uchawi upo anayebisha hajaona ndio maana . Mi kuna ndugu yangu alikuwa na kesi ya mauaji mtaalamu akaletwa home alituma jin likaleta fail kutoka mahakamani tukalichoma moto japo yeye alisema kuna option ya kuchoma moto au kunyofoa nyaraka. Baadae kesi ikaisha fasta maana mahakamani faili halikuonekana tena.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kazi ipoHuyo mtaalam yupo wapi tafadhali naomba mawasiliano yake labda na mim anaweza kunisaidia. Tatizo langu kubwa dushelele langu linanywea kimebaki kama cha mtoto mdogo, kisa tu mwanamke alinipenda nikamdengulia! Inaniuma sana.
teh teh teh jaribu kufuatilia ni sayansi gani India inatumika kutibu magonjwa sugu ambayo sehemu nyingine huwezi kuipata.
Hey my friend. Do you believe in witchcraft or do you comprehend the existence of witchcraft? Just asking. Nothing personal.
I personal understand the existence of Witchcraft and I can cast out demons and break witchcraft through the Name of Jesus and His blood.
Science to me is part of Christianity since my God created everything in science, inter-alia, science is limited to verificationism of ex nihilos.
hakuna uchawi
Ila kuna nini!?
uoga uliochanganikana na mawazo ya kichawi
hakuna uchawi
Mkuu ni maeneo ya wapi huko kwa mtalaamu?, ulimkubali sana mkuu mpaka ukamuita Mtaalamu, unaona mambo kwenye tv asilia, Vipi hamkupewa masharti!? maana hao jamaa huwa nawajua kwa masharti halafu huwa ni magumu, lakini pamoja na kusema ulishuhudia kuna jamaa wanaweza wakaja hapa wakakwambia thibitisha kama ulithibitisha...
Hivi tofauti ya Illusion na uchawi ni kitu gani!?
hakuna uchawi
Kama haviwezi kutambuliwa na milango mitano ya fahamu?
Vinawezekan sana, bt uchawi unaweza tumia utaalamu wake kufanya muhsika tu ndo haweze sens kwa kuona, kusikia n etc.
So hii milango ya fahamu inaweza kufungwa isiweze hisi lolote, tech kubwa sana hii.