Sayansi ya kumpata mpenzi unayempenda

Sayansi ya kumpata mpenzi unayempenda

Tafuta namba ya huyo unayetaka awe mpenzi wako, kwa kuulizia marafiki zake n.k
Andika meseji nzuri au tamu ya kuhusu kumlalamikia mpenzi wako ambaye ni 'fake', ili itakapomfikia huyo unayetaka awe mpenzi wako ajue meseji si ya kwake bali imeenda kimakosa. Tuma meseji nyingi za kuvutia za kuonyesha huyo mpenzi wako 'fake' anavyotesa moyo wako.

Iwapo huyo mpenzi mtarajiwa akijibu meseji kukuambia umekosea namba, we sema hujakosea namba na jitahidi kuthibitisha hiyo ni namba ya huyo uliyetaka kumtumia. Baada ya hapo, ni uwanja wako wewe wa kumuweka karibu na kuweka mazingira ya kufahamiana zaidi; pamoja na kulana kimasihara.
Mbinu hizi tulizitumia zamani wakati kulikua na ugumu kutongoza na ugumu kuwapata hawa dada zetu, ila sasa mbona mambo ni rahisi sana njia zimerahisishwa sana
 
Una undugu Secretary Pompeo ?
 
Mbinu hizi tulizitumia zamani wakati kulikua na ugumu kutongoza na ugumu kuwapata hawa dada zetu, ila sasa mbona mambo ni rahisi sana njia zimerahisishwa sana
Hii mbinu inasaidia au inajibu lile swali,namba yangu amekupa nani?
 
Back
Top Bottom