Saying I am Sorry......

I wish misamaha ingekuwa na alama /mizani ya kuweza kutambua/kupima upi ni msamaha wa dhati na upi wa kinafiki, manake siku hizi mmmh......mafix kibao!!
 
MwanajamiiOne popote ulipo naomba mwongozo:

Hii samahani unayoomba ni kwa kosa lipi hasa?
1. Fumanizi?
2.Kuunguza chakula
3. Kutoniamsha asubuhi wakati unajua nimelala na mamitungi yangu?
4. Kuninyima chakula cha usiku?
5. Kuchelewa kurudi nyumbani?
6.......
7...........

Mi ako konfuzd .... manake kuna makosa mengine kabla hujapata muda wa kuomba samahani, ushasamehewa siku nyiiiiingi. Na mengine ili usamehewe yanahitaji nguvu kutoka juu.
 
I wish misamaha ingekuwa na alama /mizani ya kuweza kutambua/kupima upi ni msamaha wa dhati na upi wa kinafiki, manake siku hizi mmmh......mafix kibao!!
Mtu akiwa anakuomba msamaha muangalie kwenye macho yake
 
Misamaha mingi siku hizi ni ya kichina!
 
We hujawahi ona msamaha na hati ya nyumba unakabidhiwa fuuulu mausanii.

I wish misamaha ingekuwa na alama /mizani ya kuweza kutambua/kupima upi ni msamaha wa dhati na upi wa kinafiki, manake siku hizi mmmh......mafix kibao!!
 
<br />
<br />
Yes,hii nayo nzuri!
 
Kweli kabisa,
Yaani mtu umemfumania then anakwambia
Sorry I didn't mean to hurt you, Please forgive me?
Yaani kirahisi rahisi hivi?
Kama alivyosema ODM misamaha mingine inahitaji nguvu kutoka juu
 
Kweli kabisa,
Yaani mtu umemfumania then anakwambia
Sorry I didn't mean to hurt you, Please forgive me?

Yaani kirahisi rahisi hivi?
Kama alivyosema ODM misamaha mingine inahitaji nguvu kutoka juu
Hahahahaha......... kwa ODM msamaha huo atakuwa anapewa akiwa Selo akisubiria signecha ya prezidaa ili Arestishwe in piis kwa kitanzi..... Mazishi ya mfumaniwaji yatakuwa yameshafanyika na mwomba msamaha atakuwa anatembelea magongo.......
 
MJ1 wapi wewe uje utoe ufafanuzi wa hii misamaha?
 
Ngoja nim-sms arudi hapa..... malabuku zake....
Tena afanye fasta, analeta misamaha yake ya kuunguza chakula hapa?
ODM hivi Mume kamdunda mke kisawasawa, then akija akisema
"Please mylove I cant be me if you cant make me feel that" atakuelewa?
 
Mtu akiwa anakuomba msamaha muangalie kwenye macho yake
<br />
<br />
very true..our eyes can tell a lot,hata hivyo nimekumiss! pia naomba sana unisamehe kwa yale mambo niliyokukosea,haikuwa kusudio langu iwe vile but i promise not to offend u again(Finest don't know if i will keep this promise lol)but keep in mind that,i love you trully no matter what...
 
We kweli umepotea njia, hata sehemu za kupenda huzijui...........nani alikuloga?
 
Tena afanye fasta, analeta misamaha yake ya kuunguza chakula hapa?
ODM hivi Mume kamdunda mke kisawasawa, then akija akisema
"Please mylove I cant be me if you cant make me feel that" atakuelewa?
Hapo labda na mshenga awe pembeni LOL
 
Saa zingine msamaha umekuwa kama kichaka cha wazembe fulani kuendeleza ubazazi wao halafu MJ1 haya mambo yetu usiyaweke huku si unaona Asprin alivyoua bendi unadhani hapo nitakusamehe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…