Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
I wish misamaha ingekuwa na alama /mizani ya kuweza kutambua/kupima upi ni msamaha wa dhati na upi wa kinafiki, manake siku hizi mmmh......mafix kibao!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari ndo hiyo...kama umechukia we samehe tu .....lol
I am sorry honey nikirudia tena nibanike kwenye jiko kama ndafu
Mtu akiwa anakuomba msamaha muangalie kwenye macho yakeI wish misamaha ingekuwa na alama /mizani ya kuweza kutambua/kupima upi ni msamaha wa dhati na upi wa kinafiki, manake siku hizi mmmh......mafix kibao!!
I wish misamaha ingekuwa na alama /mizani ya kuweza kutambua/kupima upi ni msamaha wa dhati na upi wa kinafiki, manake siku hizi mmmh......mafix kibao!!

MwanajamiiOne popote ulipo naomba mwongozo:

Hii samahani unayoomba ni kwa kosa lipi hasa?

1. Fumanizi?

2.Kuunguza chakula

3. Kutoniamsha asubuhi wakati unajua nimelala na mamitungi yangu?

4. Kuninyima chakula cha usiku?

5. Kuchelewa kurudi nyumbani?

6.......

7...........

Mi ako konfuzd .... manake kuna makosa mengine kabla hujapata muda wa kuomba samahani, ushasamehewa siku nyiiiiingi. Na mengine ili usamehewe yanahitaji nguvu kutoka juu.
Kweli kabisa,MwanajamiiOne popote ulipo naomba mwongozo:
Hii samahani unayoomba ni kwa kosa lipi hasa?
1. Fumanizi?
2.Kuunguza chakula
3. Kutoniamsha asubuhi wakati unajua nimelala na mamitungi yangu?
4. Kuninyima chakula cha usiku?
5. Kuchelewa kurudi nyumbani?
6.......
7...........
Mi ako konfuzd .... manake kuna makosa mengine kabla hujapata muda wa kuomba samahani, ushasamehewa siku nyiiiiingi. Na mengine ili usamehewe yanahitaji nguvu kutoka juu.
Hahahahaha......... kwa ODM msamaha huo atakuwa anapewa akiwa Selo akisubiria signecha ya prezidaa ili Arestishwe in piis kwa kitanzi..... Mazishi ya mfumaniwaji yatakuwa yameshafanyika na mwomba msamaha atakuwa anatembelea magongo.......Kweli kabisa,
Yaani mtu umemfumania then anakwambia
Sorry I didn't mean to hurt you, Please forgive me?
Yaani kirahisi rahisi hivi?
Kama alivyosema ODM misamaha mingine inahitaji nguvu kutoka juu
MJ1 wapi wewe uje utoe ufafanuzi wa hii misamaha?Hahahahaha......... kwa ODM msamaha huo atakuwa anapewa akiwa Selo akisubiria signecha ya prezidaa ili Arestishwe in piis kwa kitanzi..... Mazishi ya mfumaniwaji yatakuwa yameshafanyika na mwomba msamaha atakuwa anatembelea magongo.......
Ngoja nim-sms arudi hapa..... malabuku zake....MJ1 wapi wewe uje utoe ufafanuzi wa hii misamaha?
lol jamani ainisheni wenyewe aina ya makosa na misamaha yake!! MsinibanikeNgoja nim-sms arudi hapa..... malabuku zake....
Siku nyingine ntakuchapa makonde.......lol jamani ainisheni wenyewe aina ya makosa na misamaha yake!! Msinibanike
Tena afanye fasta, analeta misamaha yake ya kuunguza chakula hapa?Ngoja nim-sms arudi hapa..... malabuku zake....

Mtu akiwa anakuomba msamaha muangalie kwenye macho yake
We kweli umepotea njia, hata sehemu za kupenda huzijui...........nani alikuloga?

very true..our eyes can tell a lot,hata hivyo nimekumiss! pia naomba sana unisamehe kwa yale mambo niliyokukosea,haikuwa kusudio langu iwe vile but i promise not to offend u again(Finest don't know if i will keep this promise lol)but keep in mind that,i love you trully no matter what...
Hapo labda na mshenga awe pembeni LOLTena afanye fasta, analeta misamaha yake ya kuunguza chakula hapa?
ODM hivi Mume kamdunda mke kisawasawa, then akija akisema
"Please mylove I cant be me if you cant make me feel that" atakuelewa?
ama kweli pombe si chai. na ww usimsimange usiku banaa,unamuamsha asubuhi na machozi ya kumuibia..