First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,312
- 1,475
Najua nadhani sasa umeelewa kwanini nakusubiri kule........waja saa ngapi vile?aaaah babu msamaha gani embu kajifunze kwa wenzio na magoti wanapiga........halafu unakumbuka leo ijumaa.
aaaah babu msamaha gani embu kajifunze kwa wenzio na magoti wanapiga........halafu unakumbuka leo ijumaa.
Usiangaze sana mheshimiwa moskwito, si unajua tena: ........."Hodi" ya chooni haiitikiwi "karibu"................
...ha ha ha....huyu Babu yenu huyu...., mimi namuangaza tu na kurunzi yangu....lol!
Usiangaze sana mheshimiwa moskwito, si unajua tena: ........."Hodi" ya chooni haiitikiwi "karibu"................
...ha ha ha....huyu Babu yenu huyu...., mimi namuangaza tu na kurunzi yangu....lol!
Afu kwa mujibu wa kanuni na sheria za Fellow Tablet Klorokwini........... Sredi za MJ1 haziruhusiwi kuchakachuliwa.
Naam, naam kaka....
Najua nadhani sasa umeelewa kwanini nakusubiri kule........waja saa ngapi vile?
We wapendaje? Mkiwa wote na umri huu babu atamudu kweli? Kama waona yafaa, nambie niite na wengine...na wajukuu wengine watakuwepo babu?
Sikusamehi mpaka unipe......
Thanks Love...hapo ulipoishia....Nisamehe Mpenzi Wangu, sina uchaguzi mwingine ila kukupenda tu....take care too
Waliopinda ni walioandika au waliosoma? LOLZhahahahahhaha watu wamepinda humu ndani kha!
Mie nikiomba msamaha ujue ndo siku yangu ya kufa.............................
SIOMBI MSAMAHA HATA KAMA NIMEKOSA....(Msinitoe macho taafadhali MJ1 nani tena huyo kakukosea???)
:clap2:Naogopa sema zaidi lov... nisije haribu, i bliv you will understand.... Love you...
We wapendaje? Mkiwa wote na umri huu babu atamudu kweli? Kama waona yafaa, nambie niite na wengine...
Yapaswa kwenda kwa zamu.... tunguri zinaonyesha leo ni zamu ya chauro. wengine wakija watavimbiwa..........Yafaa kugawa iliyo sawa kwa wajukuu wote!!!!!!!!
Hommie upo kikazi au kimaslai zaidi leo?:clap2:
Ulinzi shirikishi hommie..........Hommie upo kikazi au kimaslai zaidi leo?
hahahaha itabidi tuanze na utii wa sheria bila kushurutishwa!Ulinzi shirikishi hommie..........
Ile rule namba tatu, hommie kaizer amenambia haiwahusu viongozi......ubeberu na ukabaila mkubwa huu..... Destination? Unaulizia ulimi mdomoni hommie? Smiles? Yeah that girl, hebu mPM rais wa chama akupe updates afu unifowadie....mi sina access ya kumPM kwa mujibu wa kanuni.......hahahaha itabidi tuanze na utii wa sheria bila kushurutishwa!
Hivi leo Destination wapi? kiu imeanza mapema sana (sorry kwa waliofunga)
Halafu Babu Mjukuu wako Smiles ivi umempeleka wapi?