Saying I am Sorry......

Saying I am Sorry......

Baby please nisamehe mamaangu, nikirudia kata hii kitu niliyopeleka kwa Aisha.
 
aaaah babu msamaha gani embu kajifunze kwa wenzio na magoti wanapiga........halafu unakumbuka leo ijumaa.
Najua nadhani sasa umeelewa kwanini nakusubiri kule........waja saa ngapi vile?
 

...ha ha ha....huyu Babu yenu huyu...., mimi namuangaza tu na kurunzi yangu....lol!
Usiangaze sana mheshimiwa moskwito, si unajua tena: ........."Hodi" ya chooni haiitikiwi "karibu"................
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Naam, naam kaka....
Afu kwa mujibu wa kanuni na sheria za Fellow Tablet Klorokwini........... Sredi za MJ1 haziruhusiwi kuchakachuliwa.

Now back to the topic.......... Am sorry pal......hahahahaha

Hivi midume ikikoseana haipaswi kuambiana samahani? Au makonde yanatosha kumaliza kasoro zilizojitokeza?
 
Thanks Love...hapo ulipoishia....Nisamehe Mpenzi Wangu, sina uchaguzi mwingine ila kukupenda tu....take care too

Naogopa sema zaidi lov... nisije haribu, i bliv you will understand.... Love you...
 
Mie nikiomba msamaha ujue ndo siku yangu ya kufa.............................

SIOMBI MSAMAHA HATA KAMA NIMEKOSA....(Msinitoe macho taafadhali MJ1 nani tena huyo kakukosea???)


Kwani D.A hupendi kufa..?
Ndo maana nilisema mimi hupeleka Wax la Nigeria (Original) then naomba mchezo kwisha habari... Na siku hiyo mechi ikikubalika Performance ni 100%....

 
Ulinzi shirikishi hommie..........
hahahaha itabidi tuanze na utii wa sheria bila kushurutishwa!
Hivi leo Destination wapi? kiu imeanza mapema sana (sorry kwa waliofunga)
Halafu Babu Mjukuu wako Smiles ivi umempeleka wapi?
 
hahahaha itabidi tuanze na utii wa sheria bila kushurutishwa!
Hivi leo Destination wapi? kiu imeanza mapema sana (sorry kwa waliofunga)
Halafu Babu Mjukuu wako Smiles ivi umempeleka wapi?
Ile rule namba tatu, hommie kaizer amenambia haiwahusu viongozi......ubeberu na ukabaila mkubwa huu..... Destination? Unaulizia ulimi mdomoni hommie? Smiles? Yeah that girl, hebu mPM rais wa chama akupe updates afu unifowadie....mi sina access ya kumPM kwa mujibu wa kanuni.......
 
Back
Top Bottom