Saying I am Sorry......

Sikusamei mpaka uninunulie cheni ya dhahabu....na pale kwa naniliu kuna vitenge vya wax uninunulie. AU we umezoea kunikosea kila cku tu na ckusamehi....mwee misamaha ya hv cjui km inakoleza penzi...eti jameni!
 
Reactions: EMT
....ok, yameisha basi, potezea. by the way nilikuwa mlevi...
 

mmmh yashakutokea nn? mbona una experience kubwa ya lugha ya kushawishi kimalavidavi.......? hadi mm naitamani....?
 
Sikusamei mpaka uninunulie cheni ya dhahabu....na pale kwa naniliu kuna vitenge vya wax uninunulie. AU we umezoea kunikosea kila cku tu na ckusamehi....mwee misamaha ya hv cjui km inakoleza penzi...eti jameni!

Msamaha? Au kukomoana? Na ww siku ukija kukosea....? Hiyo haikolezi ila inazamisha penzi
 
Mie napendelea kuomba msamaha kwa vitendo. Na atakeniomba msamaha aniombe kwa vitendo pia. Sio uje na maneno matamu matamu, halafu kesho kutwa unafanya yale yaleeee. Kama ni kwa maneno, then a straight sorry bila maneno mengi is much better ikifuatiwa na vitendo.
 
This is my sorry for 2011 aint gonna mess no mo ............am sorry january to dec
 
Mpenzi najua nimekukosea! Haikuwa dhamira yangu kuumiza hisia zako nimeteleza tu mpenzi ninakuomba unisamee, nionee huruma ninaumia juu ya hili
 
Naanza na mauchangamfu meengi na stori nyiingi..nampiga ngololi(jicho tata la udadisi/nakutaka)..nacheza na watoto kidogo..mapemaa! naweka ule muziki wa julio iglesias when i need u..natune ile sauti niliyomtokeaga enzi hizoo..mama...tumetoka mbaali..naomba haya mambo yaishe mpenzi..usiponisamehe wewe atanisamehe nani mie x 2 kwa msisitizo thabiti nk.,hapo ni jicho bin jicho lake likianguka na mchozi kidogo, naanza kujua ohoo! simba wameshinda ngao ya hisani..
 
Hahhh MORIA nimeipenda hii style yako dah wifi amepata mume loh
 
Hahhh MORIA nimeipenda hii style yako dah wifi amepata mume loh
Asante m1..asante kwa thread nzuri..nakusomaga sana..u luk genius eeh hata jinsi ulivyoset ile thread atarudishaje hisia (gender war zone) kijichalenge qn fulani hivi ..naona you + shemeji = a dream couple..mchana mwema mj 1
 
"Honey! hata kama umenuna naomba usininyime ile kitu! nisamehe mwenzio sjakoga wala kupiga mswaki leo ya 3" (halaf kuonesha msisitizo napiga bonge la chafya).
Kama hajanisamehe nareport kwa mods.
Manake yote hii inchekesha. Kwanza kabla ya kusamehewa unataka upewe!
Halafu siku 3 hujakoga wala kupiga mswaki (hakika kivundo heavy), isitoshe unampigia chafya.
Wewe unataka akuue badala ya kuomba samahani.
 
Niliwahi kusikia watu wanaombana samahani hivi:
"Samahani basi, lakini usidhani yameisha au ndio ninakuogopa"
 
Mi Msamaha mara moja tu ukikataa sikubembelezi.
 
Samahani ni neno dogo/jepesi sana..linaloweza punguza misongamano ya kesi/talaka rejea zisizo kichwa wala matege..limekaa kimaandiko kabisa..samehe 7x70..lkn kabla ya kusamehe vizuri isimame samahani..ila sisi wababa wa tz ni wazito mno kulitumia..tunalazimisha mechi.. 'msamaha' mumo kwa mumo..duuh!.. Ubakaji katikati ya ndoa takatifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…