Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuomba nisamehe Mpenzi Napenda niongee mengi nioneshe ni kiasi gani najutia kosa lakini naelewa kua nawe ni binadamu bado una hasira na hujapoa hivo maelezo yangu yatakua ka kelele tu kwako nakupa nafasi wa ndani wangu utafakari.. ila naomba nitapo rudi walau moyo wako juu yangu urudi hali ya kawaida Kikubwa jua nakupenda saana . Na najihisi si lolote bila penzi lako . Take care lov...
Sikusamei mpaka uninunulie cheni ya dhahabu....na pale kwa naniliu kuna vitenge vya wax uninunulie. AU we umezoea kunikosea kila cku tu na ckusamehi....mwee misamaha ya hv cjui km inakoleza penzi...eti jameni!
Ile hadith vipi tena jamani inaendelea lini dada mzuri.
This is my sorry for 2011 aint gonna mess no mo ............am sorry january to dec
hakuna jamani si nimesema hapo EMT?Then baada ya mwaka unarudia yale yaleeee?
Asante m1..asante kwa thread nzuri..nakusomaga sana..u luk genius eeh hata jinsi ulivyoset ile thread atarudishaje hisia (gender war zone) kijichalenge qn fulani hivi ..naona you + shemeji = a dream couple..mchana mwema mj 1Hahhh MORIA nimeipenda hii style yako dah wifi amepata mume loh
Manake yote hii inchekesha. Kwanza kabla ya kusamehewa unataka upewe!"Honey! hata kama umenuna naomba usininyime ile kitu! nisamehe mwenzio sjakoga wala kupiga mswaki leo ya 3" (halaf kuonesha msisitizo napiga bonge la chafya).
Kama hajanisamehe nareport kwa mods.
<br />Niliwahi kusikia watu wanaombana samahani hivi:<br />
"Samahani basi, lakini usidhani yameisha au ndio ninakuogopa"