King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,855
- 24,925
hahaha,kweli ww mchaga!kha!

Bana eeh, samahani basi...

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Bana eeh, samahani basi...
Wapendwa haya ni baadhi ya maneno/sentences/phrases zitumikazo katika kuomba msamaha kwa mpenzi wako. Kuna ambazo ni more sympathetic kwa kweli kiasi kwamba zinaweza kukufanya ukatabasamu na hacra zako kutoweka kabla hata mwombaji hajamaliza kuomba msamaha na kuna ambazo yaani badala ya kumsamehe kosa alilokosa unajikuta unatamani kumwongezea kosa jingine......................
Kuna hii...................
My darling, If I have ever wronged you, please forgive me
I want to make you smile again, please teach me how to make you smile again
Am dying for you to love me again, am dying to be in your arms again
Please mylove I cant be me if you cant make me feel that
Lakini kuna hii pia ............
...Ah nawe huna dogo? Si yamekwisha??!!
Au............
Bwana eh kama nimekukosea, nisamehe........................!!
Honestly ningependa kujua aina ya misamaa ambayo tulishawahi kuiomba/ombwa kwa/na wenzi wetu.

Hapo hajanywa kachoka kubeba mizigo mizito huko kariakoo shimoni, na unakuwa umemsubiria kwa hamu na huwezi lala lazima ushushe donge lako rohoni, yaani mnaongea vizuri, then anakuppa samahani then unaendelea kuongea mwenzako anaanza kukoroma
Bana eeh, samahani basi...
Wapendwa haya ni baadhi ya maneno/sentences/phrases zitumikazo katika kuomba msamaha kwa mpenzi wako. Kuna ambazo ni more sympathetic kwa kweli kiasi kwamba zinaweza kukufanya ukatabasamu na hacra zako kutoweka kabla hata mwombaji hajamaliza kuomba msamaha na kuna ambazo yaani badala ya kumsamehe kosa alilokosa unajikuta unatamani kumwongezea kosa jingine......................
Kuna hii...................
My darling, If I have ever wronged you, please forgive me
I want to make you smile again, please teach me how to make you smile again
Am dying for you to love me again, am dying to be in your arms again
Please mylove I cant be me if you cant make me feel that
Lakini kuna hii pia ............
...Ah nawe huna dogo? Si yamekwisha??!!
Au............
Bwana eh kama nimekukosea, nisamehe........................!!
Honestly ningependa kujua aina ya misamaa ambayo tulishawahi kuiomba/ombwa kwa/na wenzi wetu.
hahh Senetor lol ..... Mpenzi si yaishe?!Oya,ka vp nisamehe bana.
hahhhh Shemeji hapa anakusamehe na kicheko juu lol ...utasikia afu weewee, mwone vile!! Hahhhh ila wanaume mnajua kutushika"Honey! hata kama umenuna naomba usininyime ile kitu! nisamehe mwenzio sjakoga wala kupiga mswaki leo ya 3" (halaf kuonesha msisitizo napiga bonge la chafya).

Kama hajanisamehe nareport kwa mods.
my sista,
namshukuru sana Mungu kwa jinsi alivyonitengeneza, kwangu kinyongo hakina nafasi kabisa
msamaha wangu uko automatic, sio kitu cha kuombwa. kama mtu yoyote ameniudhi kwa neno au kwa tendo, inatosha tu akisema "Bwana Yesu asifiwe" nitaitikia "amina" na sekunde hiyohiyo tutakuwa tumerudi kama zamani! na hata asiponiambia hilo, mi nitajisemea kimoyomoyo "asante Yesu" na kuutibu moyo wangu kikamilifu papo hapo na kurudia hali yangu ya kawaida ya furaha na shukrani.
kama mimi ndiye nimemkosea mtu humwambia kuwa "usivunjike moyo mpendwa, Mungu anakupenda, nisamehe" akiniambia kanisamehe nitikia "amina, jina la Bwana libarikiwe" tunarudia furaha zetu kama zamani
tulihimidi jina la Bwana
ubarikiwe sana mpendwa
Nakubaliana na wewe Ruta msamaha wa kweli ni ule unaoombwa toka moyoni lakini huwasilishwa through maneno ya mdomoni kuna mwingine akisema neno moja tu 'Samahani' anahisi hajasikika na kuna mwingine akiambiwa 'Samahani' anahisi mwenzie hajutii kosa but kumbe anaumia haswa! Mimi ni mmojawapo wa nisiewezaomba sanahani bila kubembeleza!! Yaani niitoe tu kavukavu aisee ..... Ngoja ntajaribu siku moja lol!tatizo ya kauli ya mdomoni ni kuwa si lazima iwakilishe kiukweli hisia zilizopo moyoni........................nionavyo ni kuwa ongea kilichoko moyoni kwa jinsi unavyojisikia lakini utaalamu wa kuchagua maneno waweza kuwa ni mbinu ya kiunafiki ya kuficha ukweli wa kilichoko moyoni.....................just be yourself and do not meditate on what to blurt when the calling is nigh............
Hehehe Miss Judith uko serious? yaani unakusudia kusema hata ukimkuta mchumba wako anakucheat na Husninyo wewe akikwambia "Bwana Yesu asifiwe" tu kesi imeisha????, mchumbaako ana bahati sana aisee!
Nilikuwa wapi sku zote sjamchumbia Miss Judith! (source: Aspirin maternity ward)
Nakubaliana na wewe Ruta msamaha wa kweli ni ule unaoombwa toka moyoni lakini huwasilishwa through maneno ya mdomoni kuna mwingine akisema neno moja tu 'Samahani' anahisi hajasikika na kuna mwingine akiambiwa 'Samahani' anahisi mwenzie hajutii kosa but kumbe anaumia haswa! Mimi ni mmojawapo wa nisiewezaomba sanahani bila kubembeleza!! Yaani niitoe tu kavukavu aisee ..... Ngoja ntajaribu siku moja lol!
hahhhh Shemeji hapa anakusamehe na kicheko juu lol ...utasikia afu weewee, mwone vile!! Hahhhhila wanaume mnajua kutushika
yap mpendwa,
hilo na mengine kama hayo na hata makubwa zaidi ya hayo ndilo ninalomaanisha haswa, kuna mambo magumu sana kwa mwanadamu lakini kwa hakika hakuna lisilowezekana kwa Mungu!
Glory to God!
Hapa umesema ukweli kabisa,hehehe unajua shem! nilichogundua ni kwamba mapenzi ni usanii espesheli haya mapenzi ya fesbuk! unaweza ukaliona lijamaa linakulilia ukazani linalia kweli kumbe hata machozi halina, na linavuta memori za kupigwa kibuti na ex wake ili kulazimisha kupata machozi ya kukulilia wewe kwenye msamaha. Khaaa!