sbt japan, imported vehicles

sbt japan, imported vehicles

Msingida

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,239
Reaction score
11,731
Naombeni ushauri,magari yaliyo tayari hapa nchini kwa kampuni tajwa hapo juu toka october mwaka jana na november yanaweza kuchajiwa kiasi gani port fee?
Ni na mpango wa kununua gari moja wapo lakini nimepata wasiwasi kuwa huenda "port charges" ikawa juu kutokana na gari kuwepo hapo mda mrefu.
 
Back
Top Bottom