SBT Japan mnaboa kwa simu

Ozzie

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2007
Posts
3,217
Reaction score
1,261
Hii kampuni ya kuuza magari SBT Japan wanachosha kwa simu. Nime block namba zao kibao, lakini wapi. Kumbe kuna SBT Kenya na Tanzania ambao nao hawachoki kutwanga simu kila mara.

Je, unapata kadhia hii?
 
Wanaboa sana.
Yaani hata ukipost unauza gari mtandaoni wao wanakupigia kutoka Japan kukuambia kua ukishauza hilo gari ukapata hela basi ukanunue kwao gari lingine.
 
Yaani mkuu, we acha tu. wanaudhi sana. Hilo la kuuza gari ni kweli, wakiona wauza gari wanaanza kukutafuta.
 
mbona be foward awana kupigiana simu lakini wateja lukuki..

kizuri chajiuza chenyewe. kibaya chajitembeza
 
Nilijua ni mm peke yangu, dah jamaa ni wasumbufu sana...hata ukiwaambia leo kuwa huna mpango wa kununua gari, kesho unashangqa wanakupigia tena!
 
Yaani mkuu, we acha tu. wanaudhi sana. Hilo la kuuza gari ni kweli, wakiona wauza gari wanaanza kukutafuta.

Sasa mtu unauza gari unategemea upigiwe simu na wateja sio wauzaji wenzako.
 
Mi napokeaga afu simu siisikilizi wala nini naiacha hewani
 
Ni matatizo tu hayo tutayamaliza October.

Swissme
 
Niliweka tangazo la gari mtandaoni kupitia olx.Asee jamaa walipoona walianza kusumbua vibaya sana.
 
Email je? Kila siku utafikir wewe unawanunulia magari waafrica wote!
Wasumbufu mnoo!
 
duh walikuwa wanainsumbua mpaka ikabidi niingie kwenye website yao nijaze namba ya mchepuko sijui usumbufu anaopata huko.
 
Hii kampuni ya kuuza magari SBT Japan wanachosha kwa simu. Nime block namba zao kibao, lakini wapi. Kumbe kuna SBT Kenya na Tanzania ambao nao hawachoki kutwanga simu kila mara.

Je, unapata kadhia hii?

Napata sana kadhia hiyo saaanaaaa... nilianza na Japan, wakafuata STB Uingereza, then Japana tokwa kwa mtu mwingine kabisa wa sales, na juzi nimepigiwa na mtu wa Tanzania
 
Hivi ile sheria yetu ya shuttup haisemi kitu juu ya watu kama hawa? Wanabore mnooo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…