Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kampuni ya kuuza magari SBT Japan wanachosha kwa simu. Nime block namba zao kibao, lakini wapi. Kumbe kuna SBT Kenya na Tanzania ambao nao hawachoki kutwanga simu kila mara.
Je, unapata kadhia hii?
Yaani mkuu, we acha tu. wanaudhi sana. Hilo la kuuza gari ni kweli, wakiona wauza gari wanaanza kukutafuta.Wanaboa sana.
Yaani hata ukipost unauza gari mtandaoni wao wanakupigia kutoka Japan kukuambia kua ukishauza hilo gari ukapata hela basi ukanunue kwao gari lingine.
Yaani mkuu, we acha tu. wanaudhi sana. Hilo la kuuza gari ni kweli, wakiona wauza gari wanaanza kukutafuta.
mbona be foward awana kupigiana simu lakini wateja lukuki..
kizuri chajiuza chenyewe. kibaya chajitembeza
duh walikuwa wanainsumbua mpaka ikabidi niingie kwenye website yao nijaze namba ya mchepuko sijui usumbufu anaopata huko.
Hii kampuni ya kuuza magari SBT Japan wanachosha kwa simu. Nime block namba zao kibao, lakini wapi. Kumbe kuna SBT Kenya na Tanzania ambao nao hawachoki kutwanga simu kila mara.
Je, unapata kadhia hii?
Hivi ile sheria yetu ya shuttup haisemi kitu juu ya watu kama hawa? Wanabore mnooo!Napata sana kadhia hiyo saaanaaaa... nilianza na Japan, wakafuata STB Uingereza, then Japana tokwa kwa mtu mwingine kabisa wa sales, na juzi nimepigiwa na mtu wa Tanzania