Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unalipa kiasi gani...Nasikia kuwa wanajiunga na kabla ya kujiunga unatoa kiasi cha fedha ndio unakuwa unauza muda wa maongezi wa mitandao yote kadili ya unavyofikisha watu wengi kwa kuwaunga ndio muda wa kwako kupata faida kubwa biashara ni nzuri mno kwa sababu unaanza ww unajiunga na unawaunga wa ukoo wako ndugu jamaa unapata faida sio tofauti Sana living forever tofauti huko madawa huku vocha
Mwenyewe ni member...Yaan hii kaz ya network makerting haitaki lelemama..Lazima ufanye kaz....Nililipa 128500..na nimejitahid nimeunga watu saba..hela yangu isharudi....Muda ndo nakosa wa kufanya makerting kwasababu ya muda mdogoDuu, nimetongozwa pia nijiunge. Kiingilio 128, 000/=
Hivi nao ni upatu?
Wanaoifahamu fafanueni tafadhali.
Mleta uzi hawa jamaa waliniibikia fb wiki kama mbili zilizopita sijakaa vizuri wakanipatia no ya whatsapp ili wanipe maelezo kwa kina. Maelezo yao yana mtiririko mzuri sana lakini walipofikia ada ya kujiunga hapo nikaingiwa na wasiwasi na nikawablock faster kwa kuwa sijawahi kuona wakijitangaza hata kwenye vyombo vya habari tofauti na kampuni zingine. No zao hizi hapa +255 715398949 NB: Hizo no ndizo walizonipatia na wala si zangu,mkijiingiza kwenye mawasiliano na baadae mtaperiwe msije kulaumu hapa kuwa Ng'wanapagi ni taperi. Wana maongezi matamu balaa huku profile ikibadirishwa picha ya warembo mithili ya Lulu shauri yenu mkipuuzia.Hii kampuni inajihusisha na uuzaji wa muda wa maongezi kwa njia ya kielectroniki kwa wateja wa mitandao yote.Wanasema changamkia fursa,simu yako jembe lako.Sasa wanachofanya wao ni kwamba wameeliminate superdealer,agent na retailers na kukuweka wewe kama ukijiunga nao ili ununue kutoka kampuni moja kwa moja na kumuuzia mteja.
Kwa hiyo wewe sasa ndio unakua unalipwa commission ambayo wangetakiwa walipwe hao watu uliowaeliminate.Malipo yao ni kwa week kila jumatano na tarehe 5 ya kila mwezi.Ukimuunganisha mtu akawa anatoa hiyo huduma utalipwa 20,000 nae akamuunganisha mwingine utalipwa 8000 na akimuunganisha mwingine utalipwa 5000,mwingine tena 3000 mpaka 2000.
Mtoa semina wake sasa jamaa wa kikenya anajua kuhamasisha balaa,anaongea ukweli sema anatoa ukweli nusu ili kuaminisha watu kua Mo Dewji utajiri wake unatokana na u-superdealer alionao wa vocha za voda, hapa ndio nikaona huyu jamaa yuko hapa kutapeli tu watu kwanini asiseme ukweli halisi?
Na cha mwisho sasa eti unahitaji kuwalipa 128,500 ili wakuunganishe uwe unaweza kuuza na kununua vocha kwa njia hii!!!Yani utajiri wote wanaoongelea upatikane hivi?Labda waseme wao ndio watapata utajiri ila sio wewe mteja wao.
Nimepata wasiwasi nao kusema na ukweli.Nitaendelea kuaminu kua kwenye utajiri kamwe watu hawaalikani na kutoleana siri kama hivi.
RIFARO AFRICA BUSINESS OPPORTUNITY
Hii ni kampuni mama kutoka Tanzania yenye lengo la kumsaidia mmiliki wa simu ya mkononi kuweza kunufaika na muda wa hewani anaoutumia kwa kumuingizia KIPATO.
Kampuni ilipata wazo hili toka mwaka 2011, lakini rasmi ilianza kulifanyia kazi mwaka 2014 mwezi wa 12 baada ya taasisi zote muhimu kuipitia na kujiridhisha na utendaji utakaoenda kumsaidia mtumiaji wa simu kwamba upo sahihi!
BIDHAA ZA RIFARO AFRICA NI ZIPI?
Kampuni imetuletea bidhaa makini sana, muda wa hewani "AIRTIME ", ni bidhaa ya muda wa maongezi.
Hii ni bidhaa ambayo katika maisha ya sasa hivi ina umuhimu mkubwa sana, iwe ni mchana au usiku, wakati wa shida ama wakati wa raha bado tunaitumia sana! Hii ni Bidhaa ambayo kwa siku nchi nzima Tanzania inatumia zaidi ya Shs 57 bilioni au zaidi ya Shs 1.5 trillions. Hakuna bidhaa inayotoka kwa siku kama vocha za Simu. Hakuna!!
KUMBUKA SI MAANISHI KUWA UTAKUWA MUUZA VOCHA. NI KWAMBA KWA MATUMIZI YAKO BINAFSI YA VOCHA UNALIPWA WEWE NA PIA MARAFIKI ZAKO WOTE WATAKAOJIUNGA NA TEAM YAKO WAKIPIGA SIMU ZAO WEWE KUNA ASILIMIA UTALIPWA
MFUMO WA BIASHARA YA RIFARO
Rifaro Africa inaendesha biashara katika yake kwa kutumia mfumo wa mtandao "Network marketing" ambao ni mfumo thabiti wa Biashara inayokua kwa kasi au kama wengi wauitavyo "Bashara ya karne ya 21".
Ni mfumo wa biashara ambao unakufanya uachane na kutumia nguvu nyingi, biashara ambayo itakupatia kipato ambacho hakina kikomo, uwepo kazini au usiwepo biashara yako huendelea kuwepo na utaendelea kulipwa mpaka wajukuu zako. Inaruhusiwa kuwarithisha watoto wako hadi wajukuu.
Kampuni ya Rifaro imeweka mfumo huu wa malipo katika generations au vizazi 15.
Utalipwa kwa wiki kuanzia kizazi cha 1 mpaka kizazi cha -15 kwa uwiano tofauti kulingana na kizazi kwa kizazi!
AINA ZA MBILI ZA MALIPO RIFARO AFRICA
I.Malipo ya wiki
-haya ni malipo yanayotokana na kazi uliyoifanya wewe kwa kushirikiana na washirika wako katika biashara kuanzia kizazi cha kwanza hadi 15.
Utalipwa kulingana na idadi ya washiriki wapya walioingia katika hiyo week husika.
Week ya Rifaro inaanza jumatatu saa 12:01 usiku na kufungwa jumapili 12:00 usiku.
Malipo haya hulipwa siku ya jumatano kwenye ATM Card yako (visa) Utakayopewa ukijisajili.
Kujisajili ni mahali popote alipo wakala wa Rifaro kupitia namba ya mtu aliyekuelekeza. Lazima ujisajili kwa namba ya mwanachama wa Rifaro aliyekupa taarifa ya kampuni hii!
Namba yangu ya kuwadhamini wanaojiunga na team yangu ya Rifaro ni R892416
Ukienda ofisi za Rifaro Africa, watakuomba namba ya mtu aliyekuelekeza then wewe unawapa namba yangu hii R892416
Unaenda na Kitambulisho chako au leseni ya udereva. Utasajiliwa majina yako yote kama yalivyo Kwenye kitambulisho.
MALIPO YA WIKI YAPO VIPI?
Kizazi cha 1 utalipwa wewe shs 20,000/= kwa kila atakayeingia kwako moja kwa moja kwa ushauri wako.
Kizazi 2: 8000/=
Kizazi 3: 5000/=
Kizazi 4: 5000/=
Kizazi 5: 5000/=
Kizazi 6: 3000/=
Kizazi 7 mpaka kizazi cha 15 utalipwa 2000/= kwa kila kizazi.
Mfano kwa mezi ukaingiza watu kumi..na kila atakaiingia aingize wati 10.nimfano mnaweza ingiza wengi muwezavyo
1)20000×10=200,000
2)8000×100=800,000
3)5000×1000=5,000,000
4)5000×10000=50,000,000
5)5000×100000=500,000,000
6)more than 500millions
7-15
MALIPO YA MWEZI
- haya ni malipo yanayotokana na muda wa hewani "airtime " uliyotumia wewe binafsi na washirika wako katika biashara mpaka kizazi cha 15.
Kampuni inatulipa 6.5 ya muda wa hewani tuliotumia kwa mwezi wewe na team yako.
Malipo yako hivi:
Wewe ukipiga simu unarudishiwa 1% ya matumizi yako yote kwa mwezi.
Team yako ikipiga simu utalipwa hivi :
Kuanzia Kizazi cha 1 mpaka kizazi cha 5 unalipwa 0.5% kwa kila kizazi, jumla ni 2.5% ya vizazi hivyo vitano.
Kizazi 6 mpaka kizazi cha 15 wakipiga simu wewe unayesoma ujumbe huu utalipwa 0.25%.
Hapo jumla yake ni 2.5% ya vizazi hivyo 10.
Kwa hiyo jumla ya malipo utakayolipwa wewe kutokana na kupiga simu kwa mwezi ni asilimia 6% yaani (1 + 2.5 + 2.5 = 6 )
Kampuni itakupa malipo ya jumla ya 6% kila mwezi na asilimia 0.5% iliyobaki imetengwa kwa ajili ya ZAWADI kampuni itakazokukabidhi kulingana na idadi ya washiriki au kulingana na ukubwa wa team yako kuanzia kizazi cha 1-15.
Kwa mfano, labda team yako nzima kwenye kampuni imekua sana na ukawa na watu 100,000 na ukalipwa 0.5% ya sh 20,000/= atakayoitumia kila mmoja katika huo mwezi. Kwa mwezi Utalipwa 10,000,000/= (milioni kumi kwa mwezi, malipo endelevu).
ZAWADI KABAMBE ZA RIFARO AFRICA:
Kama nilivyokudokeza awali, kampuni inatenga
0.5% ya ZAWADI kabambe kwa watumiaji wa simu ambao team zao zinakua na kuongezeka kila siku!
Zawadi kabambe ya kwanza ni KIWANJA au Plots iliyopimwa na yenye Hati. Hii zawadi kabambe utapewa endapo team yako itakua na kufikisha watu 15,000. Kumbuka hao watu siyo juhudi zako peke yako.
Zawadi kabambe ya pili ni pale team yako itakua mpaka watu 25,000. Kampuni ya Rifaro itagharimia safari ya macca /Israel kujitakasa maeneo matakatifu kwa mujibu wa imani yako.
Team yako ukikua hadi watu 40,000 kampuni itakupatia gari moja lenye thamani ya 15mln kwa thamani ya sasa hivi.
Team yako ikikua hadi kufikia idadi ya watu 70,000 kampuni gari la kifahari lenye thamani ya shs 150 mln kwa thamani iliyowekwa sasa hivi na kampuni
Team yao ikitanuka zaidi na kufikisha watu 120,000 utazawadiwa jumba la kifahari (POSH VILLA) lenye thamani ya shs 400-500 milion kwa thamani iliyowekwa sasa hivi. Kampuni inakupa Uhuru ambapo ukitaka unaweza chagua ujengewe apartments,hotel, au nyumba ya kuishi! Uchaguzi ni wako.
GHARAMA ZA KUJIUNGA NA RIFARO AFRICA AU MTAJI WA BIASHARA NI KIASI GANI?
Kama zilivyo biashara nyingine, hii Biashara pia itakuhitaji uwekeze mtaji wa 128,500/=. Gharama hiyo hutumika kukufungulia account registration kwenye mfumo wa Rifaro. Pia inatumika kukupatia vitu vifuatavyo;
1. DVD
2. ATM card(2000/= salio ndani yake)
3.kitabu cha biashara
4. Website (kukuwezesha kuingia kwenye ofisi yako, kuona biashara yako yote)
-5000/= credit as airtime
Ni matumaini yangu kwamba umeipenda Biashara hii na hautachelewa kuchukua hatua. Wahi kunyanyuka uchukue fursa.
Hii sio DECI na sio pyramid scheme, this is network marketing, biashara inayowatoa watu wengi sana duniani kwa sasa....
Ingia leo na ninakuhakikishia hutojuta..
Nicheki kwa PM kwa maelezo na mawasiliano zaidi
(namba yangu ya uanachama R892416)
Unahitaji namba hiyo kwa ajili ya kujiunga (upliner wako)
Chukua maamuzi sahihi sasa,
Fafanua 'kijungu jiko'maelezo maref kaz ya kijungu jiko
Huna habari TCRA imeifungia hiyo RIFARO AFRICA na kupigwa faini?love sana rifaro