Scandal ya Hamisa Mobetto na Diamond yadaiwa kuwa ni kiki ya wimbo mpya utakaotoka kesho

Scandal ya Hamisa Mobetto na Diamond yadaiwa kuwa ni kiki ya wimbo mpya utakaotoka kesho

Status
Not open for further replies.
Dogo mbona unakuwa muongo muongo.album yake ya kwanza ilitoka 2011.

71685a9b1780f120d39ecade65f28184.jpg
 
albam yake ya kwanza ni KAMWAMBIE...iliyoandaliwa na bob junior aka sharobaro prezident! hii lbd ni ya pili baada ya kukaa kwa muda mreeefu pasi na kutoa albam.
 
hlf anatoa kipindi hiki ili kuzima hizi skendo zinazomuandama au hizo skendo nazo ni sehemu ya mpango mkakati wa hiyo albam...bado nawaza!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom