titimunda JF-Expert Member Joined Nov 26, 2014 Posts 7,571 Reaction score 9,789 Sep 19, 2017 #21 Dogo mbona unakuwa muongo muongo.album yake ya kwanza ilitoka 2011.
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,855 Reaction score 189,385 Sep 19, 2017 #22 Kelele za skendo mtandaoni kisa new project
talentboy JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 2,104 Reaction score 2,073 Sep 19, 2017 #23 albam yake ya kwanza ni KAMWAMBIE...iliyoandaliwa na bob junior aka sharobaro prezident! hii lbd ni ya pili baada ya kukaa kwa muda mreeefu pasi na kutoa albam.
albam yake ya kwanza ni KAMWAMBIE...iliyoandaliwa na bob junior aka sharobaro prezident! hii lbd ni ya pili baada ya kukaa kwa muda mreeefu pasi na kutoa albam.
talentboy JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 2,104 Reaction score 2,073 Sep 19, 2017 #24 hlf anatoa kipindi hiki ili kuzima hizi skendo zinazomuandama au hizo skendo nazo ni sehemu ya mpango mkakati wa hiyo albam...bado nawaza!
hlf anatoa kipindi hiki ili kuzima hizi skendo zinazomuandama au hizo skendo nazo ni sehemu ya mpango mkakati wa hiyo albam...bado nawaza!