warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Baada ya picha kuzagaa mitandaoni kuhusu shutuma dhidi ya mwanamama kutoka Uganda, zari hassan, ambaye pia ni mpenzi wa mwanamuziki wa msanii diamond platnums, zikimfananisha mtoto huyo wa diamond aitwaye nillan na mume wa zamani wa zari, ambaye wanaonekana kufanana zaidi na mtoto huyo kuliko diamond, mwanamama huyo amewataka maadui zake wafocus zaidi kwenye maisha yao na familia zao kuliko kumjadili yeye na maisha yake kwani haitowasaidia kitu