mzaramo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2006
- 6,371
- 5,186
Sawa hatuna akili.Wadada wengi wa bongo walioko instagram akili hawana ,
Wamefungua vipeg vyako kuzungimzia maisha ya watu na kupata vimatangazo vya dawa za kuongeza nguvu na makalio basis wanaona ndo ajira kabisa
Full kutukana watu
Lini mtampelekea Nillan akamuone baba ake?!