Scandal ya kuzaa na Ivan, zari awalipua wabaya wake

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Baada ya picha kuzagaa mitandaoni kuhusu shutuma dhidi ya mwanamama kutoka Uganda, zari hassan, ambaye pia ni mpenzi wa mwanamuziki wa msanii diamond platnums, zikimfananisha mtoto huyo wa diamond aitwaye nillan na mume wa zamani wa zari, ambaye wanaonekana kufanana zaidi na mtoto huyo kuliko diamond, mwanamama huyo amewataka maadui zake wafocus zaidi kwenye maisha yao na familia zao kuliko kumjadili yeye na maisha yake kwani haitowasaidia kitu
 
Wadada wengi wa bongo walioko instagram akili hawana ,
Wamefungua vipeg vyako kuzungimzia maisha ya watu na kupata vimatangazo vya dawa za kuongeza nguvu na makalio basis wanaona ndo ajira kabisa
Full kutukana watu
 
"Kuchapiwa" inapokuwa sio "siri ya ndani" nini hutokea, TUNASUBIRI MAJIBU KWA DAIMONDIIII.
Ngoja tulisongeshe:-
Ngololo, ngololo, ngololo.........
 
Angeacha majibizano na wajinga.....halafu kawaandikia kwa hiyo lugha, Nina mashaka na waswahili wa Insta kama watamuelewa vizuri...........mswahili anataka mswahili mwenzake.
Inasta bongo wemejaa vilaza hapo lazima waangaike kutafuta tafsiri
 
Afadhali katoa povu kwa aina yake, ila sijaona kanusho lolote, halafu kwenye hili ananipa doubt, sijaona akikanusha zaidi ya kuruka kama sindano imemuingia, kaingia maisha ya ku post hiki asikishangae watu nao wakimpost maisha yake binafsi, tumsubiri na yule mwingine naye wa vyeti alipuke.
 
Akanushe kwa Nani? Zari ni kiongozi wa umma useme labda wananchi wanataka kujua?
Hao unaotaka awajibu wana maslahi yoyote kwenye uhusiano wake na diamond?
Alafu utakuta MTU kama were unadegree unauliza swali kama hili
 
Wamezidi. Badala ya kujua tao wanataka kudestroy maisha ya wengine. Safi Zari
 
Weka hiyo picha tuone, hau ni ile ipo kwa post za wema Instagram?
 
Safi sana Zari... Wabongo husda na chuki zimewajaa. Be postive and live ur life vile unataka. Hawa lowlife kina warumi wasojulikana achana nAo. Be blessed Sari.
 

Kanusho...!!? waswahili mna dogo nyie?

Hivi akikanusha ndio mtaacha kumwandama?
 
"If you are a man and married DO NOT EVER TRUST your wife except your ONLY BIOLOGICAL MOTHER"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…