Scandal ya kuzaa na Ivan, zari awalipua wabaya wake

sasa kwani waliotoa habari kuwa mtoto si wa simba walitumia kidhungu jamani sis wengine darasa LA nne ndo mwisho
 
Haki itapatikana kwa kupima DNA ya Katoto, Ivan na Diamond
 
Zari jasiri anapeleka watoto kuthibitisha kuwa wa mondi je nyie mnatoka povu kufuatilia maisha yao mama zenu walishawapeleka kipima DNA na hao wanaoitwa baba zunu. Achenu kufuatilia maisha ya ndani ya watu. Fanyeni discussion za kuwapeleka mbeke kimaisha. Nasema a heni kama hamtaki wambieni mama zenu wathibitishe uhalali wa baba zenu kwa DNA. Inachefua kuona mnashupalia maisha ya wengine yenu ni ya kubangaiza. Big up zari and mondi. May God bless you more and let those who envy you go to hell. Amen
 
hehehehhehe zareeeeeeeeeeeeeeeeeeee amamchota kaka pezn barufu juwa likipita hata huwezi kumbuka kaa walikuwaga wapenz..... known ice love...........
 
Hoja.. Seriously? Ajibu kwa Nani? Wewe unaefuatilia maisha yake then inasaidia vipi kukuongezea shilingi benk?
Hata mi nashanga wanaofatilia maisha ya "wanaofatilia maisha ya watu"
 
Mbwembwe zote anaandika gazeti la kithungu bila vocabulary za maana......sepenga andika gazeti kilaza atoke nduki
 
haya ndio utayamudu sio ule utetezi uchwara wa bashite
 
Zari inaelekea hii situationi inamuumiza ingekua mimi wala nisingejibu ndiyo kwanza ningezidi post picha ili wazidi kuumia, ila nimeupenda ujumbe wake
 
hahaa...sio timu zari Ila wamuache Dada wa watu na mwanawe mtoto wa diamond yule
 
Mi zari namkubali sina tatizo nae ht huyo mzazi mwenzie!

Ila nasema tu!
Asubiri ,wakati dai ana 35-45....atakspokua jentloman,[emoji23],ndo ataelewa sshv bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…