Scandal ya kuzaa na Ivan, zari awalipua wabaya wake

Wadada wengi wa bongo walioko instagram akili hawana ,
Wamefungua vipeg vyako kuzungimzia maisha ya watu na kupata vimatangazo vya dawa za kuongeza nguvu na makalio basis wanaona ndo ajira kabisa
Full kutukana watu
Sawa hatuna akili.

Lini mtampelekea Nillan akamuone baba ake?!
 
Hii yule jamaa wa Tandale lazima afe kwa mawazo.

Akimuacha tu ile nyumba ya Sauzi anaikosa maana ina jina la yule bibi wa Uganda.
 
Hii yule jamaa wa Tandale lazima afe kwa mawazo.

Akimuacha tu ile nyumba ya Sauzi anaikosa maana ina jina la yule bibi wa Uganda.
Lete ushahidi mkuu ili tuhakiki
 
Kuna video clip niliiona mahali, watetezi wa haki za binadamu tena majuu wanawatetea watanzania kwamba hawawezi kujikwamua kiuchumi sababu ya mzigo wa kodi waliobebeshwa. Wabongo wenyewe hata habari hawana, kutwa kusengenyana wao kwa wao tu. [HASHTAG]#SMBD[/HASHTAG]
 
Ila kale katoto kamefanana sana na jamaa aisee, ila wanasema kitanda hakizai haramu.
 
Waooo... Wa tz nawapendeaga apo tuu...
Hata Uwe nan utaomba poo tuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karib tz kigagula zari!!!
 
Povu halisaidii DNA ndiyo itakayo sema ukweli
Luna mdau humu yeye anavifaa vya D.N.A za kimila
 
Mambo ya watoto sio ya kupigia kelele,hata hivyo inategemea iyo picha ilipigwa angle gani,na yule bado mdogo sana ataendelea kubadirika mpaka hapo baadae ndo mtu ataweza kusema ila kwa sasa wamuache akue,na wa kulalamika ni mzazi km hajafanya hivyo wengine mnajisumbua.
 
Sasa Zari anaenda Uswazi anachamba kwa ung'eng'e, kina Sikitu, Kidawa na ng'eng'e wapi na wapi.
 
Ngoja na mimi nimtafute Zari nizae nae hata mmoja tu..
 
To be fair, Zari is just spreading legs-not love😉
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…